Katika gazeti la Mwananchi la tarehe 11/8/2020 yenye kichwa cha habari kinachosema "SIMPITISHI YEYOTE MATESO HAYA" habari hii yenye paragrafu 29 imeandikwa na waandishi 14, ambao ni Daniel Mjema, Bakari Kiango, Andrew Gasper, Mussa Juma, Rachael Chibwete , Twalad Salum, Rehema Matowo, Ernest Maghashi, Beldina Nyakeke, Anthon Mayunga, Sada Amir, Jesse Mikofu, Daniel Makaka, Robert Kakwesi.
Cha kujiuliza: Je, ni umakini katika uandishi kiasi kwamba habari ya mwanasiasa mmoja kuandikwa na waandishi wengi hivyo?
Cha kujiuliza: Je, ni umakini katika uandishi kiasi kwamba habari ya mwanasiasa mmoja kuandikwa na waandishi wengi hivyo?