Habari ya Mgombea Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu yaandikwa na waandishi 14

Habari ya Mgombea Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu yaandikwa na waandishi 14

Wameandika wote ili iwe ngumu kwa Mamlaka kuwashtaki watu wote hao,angekuwa kaandika Mmoja ingekuwa rahisi kumpa onyo na vitisho.
Je Sheria inasemaje kuhusu kufungiwa waandishi wote walioandika hiyo habari?
 
Hilo ni jambo la kawaida kwa waandishi zaidi ya mmoja kuchangia story!! Nyie mbwiga ndio mnaona nongwa ; angalia story kwenye magazeti ya wenzetu huko nje mara nyingi huandikwa na contributors zaidi ya mmoja ili story iwe credible!

Jiongezeni kwa kusoma nje ya mabox yenu!!!
Tunaongelea 14 kama script ya Bongo movie..
 
Hii Serikali ya kishetani ya ccm ishindwe kwa Jina la YESU
 
Back
Top Bottom