Tetesi: Habari za hivi punde: Kinana ameandika barua ya kujiuzulu

Tetesi: Habari za hivi punde: Kinana ameandika barua ya kujiuzulu

ndio utaratibu wa chama. Katibu mkuu anaandika barua ya kujiudhuru kwa niamba ya viongozi wote ili kumpa mwenyekiti mpya kupendekeza atakaofanya nao kazi. NI KWAHERI TU NA SIO KWASHARI.
Mmh! kwa jinsi ICD ya Tally ilivyokaukiwa magari sidhani kama mzee wa tembo ana amani moyoni!
 
Siku Mbowe anajiuzulu, ama Lipumba anaamua kuachana na CUF moja kwa moja, na siku Maalim seif akiachana na kugombea urais Zanzibar, natembea kwa miguu mpaka urusi na kurudi...
Nothing lasts forever..kwahiyo hizo siku zitafika tu labda ungesema si mapema sana ila zitatokea tu.
 
Master plan wa CCM anaondoka ? Kama CCM hawajaandaa mbadala wake its better wamuombe aendelee najua wachache sana watanielewa .
Mimi nakuelewa sana, huyu msomali ana akili sijapata kuona. ni zaidi ya master planner, anajua technics za hatari kwenye siasa. itawachukua muda sana cm kumpata mtu wa kiwango chake.
 
kama lizaboni kapinga hii habari ujue labda ni uongo. Kwasabab huyu jamaa ni hatari mwanzon nilizan msela mwenzetu. Ila sasa hiv niko naye chonjo na sasa hivi anavyoposti hivi anaposti kutoka kijitonyama
he he he... kijitonyama kwenye zile flat zetu eh!... zile za nanihii...
 
Kwa alichokisema ole sendeka juzi Ni kuwa maghu akikabidhiwa Chama uongozi unatakiwa uachie ngazi ili mwenyekiti ajipange na watu wake sasa naona kinana kaamua kuanza kutekeleza hilo
Huwa ndiyo utaratibu mkuu. M/kiti anaunda sekretariate yake
 
Master plan wa CCM anaondoka ? Kama CCM hawajaandaa mbadala wake its better wamuombe aendelee najua wachache sana watanielewa .
Kweli ndugu huyu bwana alizunguuka karibu vijiji vyote nchini kukipa uhai chama sio kazi ndogo kama ni kweli anapumzika amani kwake kwa kazi njema aliofanya.
 
Kwa hilo nakuunga mkono. ..hata hofu ya MWENYE ENZI MUNGU hawana. ..wao ni kuua tu tembo zetu....hicho kitendo nakilaani kwa laana zote!
Wauwaji wa tembo wanajulikana sana na wamfanya biashara hiyo pia wanajulikana. MHE kinana hahusiki na HUO uchafu
 
Sio rahisi Kinana kuweza kufanya Kazi na MAGUFULI ....Kwa SABABU yeye ni kada mzoefu ,afisa wa jeshi mwandamizi..na umri pia sidhani Kama atakubali Kuanza kupigishwa kwata na MAGUFULI ambayo Hana simile..
Aina ya siasa za kikada za Rika la kina Kinana ..ni tofauti Sana na mwelekeo wa MAGUFULI ...
Siasa za Kinana zimebase KWENYE malezi ya Mwalimu ambapo mijadala Ndio iliamua mambo....MAGUFULI sio mpenzi wa mijadala Bali ataendelea maamuzi ya Kiimla .....fikra Zake Ndio zitatamalaki....SASA mtu Kama kinana hataweza
 
Sijaelewa...kajiuzulu kufanya nini.... maana anakazi nyingi huyu mtu wa meli
 
Huu ni uzushi toka mtaa wa ufipa
Hahaha Lizaboni nina wasiwasi ukitembea ukasikia kishindo nyuma yako mawazo ya haraka haraka utakayokuwa nayo ni Ufipa yuko nyuma yako kama vile ni kitu halisi
 
Back
Top Bottom