Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Uzushi gani wakati gazeti la Uhuru limeandika atajiuzulu ili amuachie mwenyekiti haunde safu yake ya uongozi? Hivi hapo Lumumba mna kambi ngapi?Huu ni uzushi toka mtaa wa ufipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzushi gani wakati gazeti la Uhuru limeandika atajiuzulu ili amuachie mwenyekiti haunde safu yake ya uongozi? Hivi hapo Lumumba mna kambi ngapi?Huu ni uzushi toka mtaa wa ufipa
Mmh! kwa jinsi ICD ya Tally ilivyokaukiwa magari sidhani kama mzee wa tembo ana amani moyoni!ndio utaratibu wa chama. Katibu mkuu anaandika barua ya kujiudhuru kwa niamba ya viongozi wote ili kumpa mwenyekiti mpya kupendekeza atakaofanya nao kazi. NI KWAHERI TU NA SIO KWASHARI.
Nothing lasts forever..kwahiyo hizo siku zitafika tu labda ungesema si mapema sana ila zitatokea tu.Siku Mbowe anajiuzulu, ama Lipumba anaamua kuachana na CUF moja kwa moja, na siku Maalim seif akiachana na kugombea urais Zanzibar, natembea kwa miguu mpaka urusi na kurudi...
Mimi nakuelewa sana, huyu msomali ana akili sijapata kuona. ni zaidi ya master planner, anajua technics za hatari kwenye siasa. itawachukua muda sana cm kumpata mtu wa kiwango chake.Master plan wa CCM anaondoka ? Kama CCM hawajaandaa mbadala wake its better wamuombe aendelee najua wachache sana watanielewa .
he he he... kijitonyama kwenye zile flat zetu eh!... zile za nanihii...kama lizaboni kapinga hii habari ujue labda ni uongo. Kwasabab huyu jamaa ni hatari mwanzon nilizan msela mwenzetu. Ila sasa hiv niko naye chonjo na sasa hivi anavyoposti hivi anaposti kutoka kijitonyama
Sidhani kama Tembo watabaki salama mkuu.Itakuwa vema magu akimpangia kazi nyingine hasa mkuu wa bodi ya wakurugenz TANAPA
Huwa ndiyo utaratibu mkuu. M/kiti anaunda sekretariate yakeKwa alichokisema ole sendeka juzi Ni kuwa maghu akikabidhiwa Chama uongozi unatakiwa uachie ngazi ili mwenyekiti ajipange na watu wake sasa naona kinana kaamua kuanza kutekeleza hilo
Kweli ndugu huyu bwana alizunguuka karibu vijiji vyote nchini kukipa uhai chama sio kazi ndogo kama ni kweli anapumzika amani kwake kwa kazi njema aliofanya.Master plan wa CCM anaondoka ? Kama CCM hawajaandaa mbadala wake its better wamuombe aendelee najua wachache sana watanielewa .
Watu wa kanda ya maji sio au mimi nimewaza vibaya?!Mwenyekiti Mpya atachagua watu wake
Wauwaji wa tembo wanajulikana sana na wamfanya biashara hiyo pia wanajulikana. MHE kinana hahusiki na HUO uchafuKwa hilo nakuunga mkono. ..hata hofu ya MWENYE ENZI MUNGU hawana. ..wao ni kuua tu tembo zetu....hicho kitendo nakilaani kwa laana zote!
Watu wa kanda ya maji sio au mimi nimewaza vibaya?!
Labda elimu ya kanda ya maji.wenye Elimu tu.
Nadhani anajiuzulu kazi ya kijani na kushika ule mradi wake wa shehena ya meli.Sijaelewa...kajiuzulu kufanya nini.... maana anakazi nyingi huyu mtu wa meli
Hahaha Lizaboni nina wasiwasi ukitembea ukasikia kishindo nyuma yako mawazo ya haraka haraka utakayokuwa nayo ni Ufipa yuko nyuma yako kama vile ni kitu halisiHuu ni uzushi toka mtaa wa ufipa