Hapa tunaongelea Secularism dhidi ya Islamic Government upande wa kuishi kwa Amani na majirani zake.
Mkuu miye nimekuunga mkono kwa msisitizo ulichoandika wapi kinasikika zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tunaongelea Secularism dhidi ya Islamic Government upande wa kuishi kwa Amani na majirani zake.
We jamaa unaongea hata vingine hujui iraq alivamia lini iran na kuwait kwa wakati mmoja.Iraq ilishupaza shingo hivyo hivyo na ilikuwa na nguvu ikavamia Iran na Kuwait lakini US UK na Washirika wengine walitembeza kichapo cha haja hali kadhalika Iran itachapwa hivyo hivyo.
Nchi zote za Kiarabu hazimtaki Ayatolah zinasema anasambaza Uislamu wa Kishia.
Vipi afghanistan mwisho wake umekuwa nini na Yemen mwisho wake umekuwa nini vingine vimewashinda watu ,wanapigana generatipn hadi generation kama tu wapalestina from Arafat to akin Sinwar and on going.Turkey ni Secular Government Iran ni Islamic Government hiyo ndio tofauti Iran lazima ivamiwe ili irudishwe kwenye Usecular kama ilivyokuwa kabla ya Maayatola.
Afghanistan ni Tribal Land haina historia yeyote zaidi ya kupigana wenyewe ndio maana Mongols waliamua kuchinja Nchi nzima.Vipi afghanistan mwisho wake umekuwa nini na Yemen mwisho wake umekuwa nini vingine vimewashinda watu ,wanapigana
Wapi nimesema kwa wakati mmoja?!We jamaa unaongea hata vingine hujui iraq alivamia lini iran na kuwait kwa wakati mmoja.
Message simple tu usianzishe vita isiyoisha hii ndio lesson from Afghanistan,more than 20years mnafight tu na mwisho mmewarudishia serikali walewale.Afghanistan ni Tribal Land haina historia yeyote zaidi ya kupigana wenyewe ndio maana Mongols waliamua kuchinja Nchi nzima.