njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Nikiwa hapa Mwembe kiguza mkuranga nasema hiviii hiyo ni False flag ya Israel na Usa wamefanya kwamba mpango umeleak ,hii itafanya wakina madevu wapige hesabu kuwa itachukua muda mrefu kuandaa mpango mwingine kumbe mpango halisi upo na kanyaboya wamepewa