Habari zimevuja, Israel ilikua na mpango wa kuishambulia Iran hivi karibuni

Habari zimevuja, Israel ilikua na mpango wa kuishambulia Iran hivi karibuni

Thubutu.
Taifa teule lifutwe? Alishindwa farao wa misri? Walishindwa wanefili !Alishindwa nebukadneza ! Alishindwa hitler!

Israel taifa teule ubarikiwe,watabarikiwa wanao kubariki ,watalaaniwa wanao kulaani. Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe ewe Israel ,vibarikiwe vizazi vyako ,wabarikiwe wanao kubariki.

Amen.
We ni mzima kweli!?
 
Hakuna taifa bila watu.
Watu ndio taifa.
Huwezi kuwafuta wana wa Israel (Jews).
Walishindwa wafalme na wafalme utaweza wewe.
Mtawapiga vita sana ila mwisho wake wanageuka washindi kwa sababu ni wateule.
See how dunderhead you are.
Taifa ni mfumo sio watu peke yake.
Ndio maana nikasema unaweza ukavunja taifa la Israel ila asili ya wana israel ikabaki.
Mbona Palestina sio taifa ila wapalestina wapo??
Taifa ni mfumo a nation is a system with complexity sio watu tuu.
 
Hizi ndoto za kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia HAZIWEZI KUTIMIA NA WALA HAZITAKUJA KUTIMIA KAMWE. Haijalishi, hata kama itatokea dunia nzima wakawa kinyume na Taifa la Israel. Wanachoweza kufanya ni kuichakaza tu na hilo litafanyika endapo Mungu akiruhusu na SIO KUIFUTA kwenye ramani ya dunia. Majaribio ya kuwafuta Waisrael yalishafanyika mara kadhaa huko nyuma, na yote yalishindwa. Maadui zao huwa wanafanikiwa kuwachakaza tu. Taifa la ISRAEL NI MPANGO WA MUNGU. LIPO PALE LILIPO KWA MPANGO WA MUNGU.
Ngoja lipigwe Satan ballistic missiles uone kama kuna kenge atabaki juu ya uso wa Israel.
 
Mtu kapigwq mala2 na kaaangia chaka asi naleo kimya na bado mazwazwa wanaamini Israel ndio super power 🤣🤣
 
US UK na EU zisaidie Regime Change huko Iran kwa kuitoa Islamic Government of Iran na Maayatola wabakie Misikitini na sio kwenye Siasa.
Walifanya hivyo huko Iraq, Afghanistan ,Libya na matokeo yake tuliyaona, wakijaribu huko Iran balaa lake litakuwa kubwa zaidi
 
Vita ni mbaya na ina matokeo yasiyotabirika. Hivi unadhani yeye Israel hawezi kutuma makombora kwenda Irani!? Je ,yeye Irani anayo defense system ya kuzuia makombora iwapo Israel ataamua kufanya hivyo!? Unadhani na yeye Irani ataathirika kiasi Gani!?
Unachosema ni kweliila israel uwezo huo dhidi ya iran hana rejea maneno ya Donald Trump alipomshambulia Suleiman akasema israel walirudi nyumq wakataka yeye apigane na iran yaani kiufupi israel all out war na iran hawawezi kusurvive wanataka usa afanye hivyo kwa kuwa usa uwezo huo anao na wairan ktk kubalance ndio wamefanya urafiki na russia ili kudilute athari za usa na kumfanya usa afikirie mara mbili kumuengage muiran usa akijichanganya akaenda kuvamia iran kitawaka taiwan ,ukraine na south korea major power wataanza kuliamsha kutengeza alterantive world order na hapo hapo where is europe yenyewe iko kwenye deep sleep kabisa hata haijui inasimamia nini maana ni wa kuburuzwa tukwa sasa hamna taifa ulaya lenye nguvu likaongea kitu na dunia ikasikiliza wao anachosema usa ndio sawa wanakubali wamekuwa kama dodoki.
 
Walifanya hivyo huko Iraq, Afghanistan ,Libya na matokeo yake tuliyaona, wakijaribu huko Iran balaa lake litakuwa kubwa zaidi
Mwana wa Mfalme Shah Reza Palhavi yuko teyari kusimika Democratic Secular Government na Maayatola wote watarudi Misikitini na kufundisha Madrasa hawataruhusiwa tena kufanya Siasa.
 
Ni katika harakati za kutengeneza stori tu ili waonekane na wao wanampango wa kujibu ila hawatajibu shambulio lolote la moja kwa moja, katika mashambulizi ya moja kwa moja hawamuwezi Iran , Iran anaweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, Air defence system ya Israel ni dhaifu ndo maana juzi Iran kaweza kuichakaza Nevatim base na kuharibu ndege vita zote zilizokua zimejaa pale
Nje ya mada
Nikitaka kusave hii post nafanyeje?
Nina jambo nayo next week
 
Mwana wa Mfalme Shah Reza Palhavi yuko teyari kusimika Democratic Secular Government na Maayatola wote watarudi Misikitini na kufundisha Madrasa hawataruhusiwa tena kufanya Siasa.
Huyo jamaa hana ushawishi mkubwa huko Iran...
 
Wairan wengi wamechoshwa na Islamic Government wengine hata wanataka kurejesha Dini yao ya Zoroastranism.
Yeah!...wamechoshwa sawa ila kuna wanasiasa wengi wa mrengo wa kati huko Iran wanaopendwa na raia lakini sio huyo mwanamfalme rafiki wa Marekani na Israel.
 
Yeah!...wamechoshwa sawa ila kuna wanasiasa wengi wa mrengo wa kati huko Iran wanaopendwa na raia lakini sio huyo mwanamfalme rafiki wa Marekani na Israel.
Kabisa lakini lengo ni kuiondoa Islamic Government ambayo imekuwa ni Sponsor wa Ugaidi katika Ukanda huo.
 
Wairan wengi wamechoshwa na Islamic Government wengine hata wanataka kurejesha Dini yao ya Zoroastranism.
Ww ndo unaishi huko Iran au ukisikia CNN inasema hivyo ndo unadakia kama zuzu .huyo raza anapewa airtime na cnn na BBC..ila uwezo wa kupenya mpaka awe kiongozi hilo hakuna majina ya urais lazima yapitiwe na shura ya maimu
 
Unachosema ni kweliila israel uwezo huo dhidi ya iran hana rejea maneno ya Donald Trump alipomshambulia Suleiman akasema israel walirudi nyumq wakataka yeye apigane na iran yaani kiufupi israel all out war na iran hawawezi kusurvive wanataka usa afanye hivyo kwa kuwa usa uwezo huo anao na wairan ktk kubalance ndio wamefanya urafiki na russia ili kudilute athari za usa na kumfanya usa afikirie mara mbili kumuengage muiran usa akijichanganya akaenda kuvamia iran kitawaka taiwan ,ukraine na south korea major power wataanza kuliamsha kutengeza alterantive world order na hapo hapo where is europe yenyewe iko kwenye deep sleep kabisa hata haijui inasimamia nini maana ni wa kuburuzwa tukwa sasa hamna taifa ulaya lenye nguvu likaongea kitu na dunia ikasikiliza wao anachosema usa ndio sawa wanakubali wamekuwa kama dodoki.
Acha porojo, Russia hii hii inayojikongoja na Ukraine! Zaidi ya kitisho cha Nuclear, hana chochote cha ajabu.
 
Ww ndo unaishi huko Iran au ukisikia CNN inasema hivyo ndo unadakia kama zuzu .huyo raza anapewa airtime na cnn na BBC..ila uwezo wa kupenya mpaka awe kiongozi hilo hakuna majina ya urais lazima yapitiwe na shura ya maimu
Inawezekana haishi huko ila maisha ya waIrani Yako dictated na Ayatollah na ujinga wowote anaoubariki Ayatollah ndio unaenda.
 
Yetu macho tunaangalia wanavyo wanavyo uwana.
Vita sio suluhisho la kudumu.
Vita ni fikra za kijima, Israeli inaamini kuwa Vita ndio suluhisho la usalama wa nchi yake bila kujua kuwa ndio inachochea zaidi hatari.
 
US UK na EU zisaidie Regime Change huko Iran kwa kuitoa Islamic Government of Iran na Maayatola wabakie Misikitini na sio kwenye Siasa.
Hilo draft sio kama kunywa kahawa kuuangusha mbuyu kwa shoka hawawezi hata kidogo tatizo wanataka wao kama walivowashika masikio wale waislamu poa ndio wajaribu Irani hio ngoma inawachukua miaka 100+
 
Acha porojo, Russia hii hii inayojikongoja na Ukraine! Zaidi ya kitisho cha Nuclear, hana chochote cha ajabu.
Unaropoka wewe huijui Russia vizuri.
Mataifa 57+ yanaipa msaada UKRAINE dhidi ya Russia moja.
Wanaingiza hadi majeshi yao wakisingizia ni mercenaries na bado Russia ameteka 18% ya nchi ya Ukraine.
Unaropoka nini wewe kijana!?
 
Back
Top Bottom