Basi huenda tatizo lake ana fursa kubwa kuliko uwezo wakeYericko mnamsingizia. Huwa anapata taarifa kupitia intelligence cables, siyo mtu mwepesi mwepesi.
Thread 'COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?' COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?Naomba link Mkuu. Yule Ndugu ni shida, niliwahi kulipia makala yake ya Vipepeo weusi. Ilikuwa matata sana!
Unaijua Sheria copyright and patent right vizuri??Habibi Hanga si kun thread ya kumtapeli mtu humu elfu 60.
Seeeking validation for bs..
Hizi ni public platforms na huna haki na chochote unachoandika humu au kwenye social media yeyote...
Hizo bla bla zao za kijinga toka vitabu vinauzwa vinaisha vinachapishwa vingine walikuwa wapi...
Siasa maji taka wanacheza.
Vijana wengi wa kitanzania ni mazuzu sana , unatumika na watu wachache kea manufaa yao... Wewe unabaki mbangaizaji tu.
Mwambieni waendelee kuimba wimbo wa Diaspora
Ingekua anaandika kwenye journal sawa lakini kama aandika facebook sidhani kama kuna ulinzi wowote wa hiyo taarifa.Mwandishi anatakiwa aseme kwamba hili andiko nimekwapua kutoka kwa mwandishi fulani, ndio uungwana
HahahaYeriko ni tapeli
Ameandika kwenye kitabu chake sio FacebookIngekua anaandika kwenye journal sawa lakini kama aandika facebook sidhani kama kuna ulinzi wowote wa hiyo taarifa.
Dah watu mnachuki za kitoto sanaAnajulikana siku nyingi. Amejipa mpaka ''tuzo'' za wandishi bora Afrika. Jamaa ni laghai na hawezi kuandika hata sentensi moja kwa kiingereza kilichonyooka. Tunajua ni tapeli siku nyingi lakini ila sasa hivi tunataka kuanika ni watu wa aina gani waliomzunguka na kumtetea Mbowe.
Kama aliweza kukopi na kupest akapigwa hela huyu ni mjamja bro acheni chuki tafuteni mpungaHata kile kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi, ukisoma vizuri utagundua makosa ya kiuandishi mengi tu. Ni kama alkua anakopi sentensi za kzungu kuja kiswahili sasa hzo tafsiri zenyewe ni kama unasoma lugha ngeni usioijua kabisa kumbe kiswahili.....lakini mbaka anauza vtabu mbaka viishe hawa walalamikaji walikua wapi??
Hivi vitabu ameuza sana hasa mitandaoni huko nadhani, kapiga hela sanaa tu huyu jamaa
SawaIngekua anaandika kwenye journal sawa lakini kama aandika facebook sidhani kama kuna ulinzi wowote wa hiyo taarifa.
Kama hatuna ushahidi, tafadhali tumtunzie heshima mwanaume mwenzetu...Kuna taarifa mtaani, Nyepesi nyepesi ...Ati, mji wa yeriko UNAPUMULIWA!...
Ndiyo ukweliHahaha
Huwezi jua kajiepusha na mangapi.Habib B Anga ni mwandishi mzuri sana sema na yeye ana roho nyepesi sana hakuwa na sababu ya kukimbia Jf.
Wakili Matojo naye anasema aliandika mkakati ka ajili ya CHADEMA akampa Yericko, lakini Yeri ko akauchukua na kuufanya kitabu chake.Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?
Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558
Kajitakia tu huyu jamaaNilimjua huyu dogo ni mweupe alipochukua upande kwenye vita ya ukraini na urusi
Hakuwa na hoja alitanguliza ule ushabiki wa darasa la nne
Tulimuuliza Kuna tofauti Gani ya ubabe wa urusi dhidi ya ukraini na ubabe wa Ccm dhidi ya upinzani
Akabaki anatukana tu.
Wenye akili tukajua hamna kitu pale
Ni kwa vile upepo wa cdm uliwabeba vilaza wakaonekana Wana akili kuliko maccm
Mwingine ni boni yai yule nae hamna kitu kabisa mle.
Thx tu Lissie amewa expose na tumeweza kuwajua uwezo wao