Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

Habibi Hanga si kun thread ya kumtapeli mtu humu elfu 60.

Seeeking validation for bs..

Hizi ni public platforms na huna haki na chochote unachoandika humu au kwenye social media yeyote...

Hizo bla bla zao za kijinga toka vitabu vinauzwa vinaisha vinachapishwa vingine walikuwa wapi...

Siasa maji taka wanacheza.

Vijana wengi wa kitanzania ni mazuzu sana , unatumika na watu wachache kea manufaa yao... Wewe unabaki mbangaizaji tu.

Mwambieni waendelee kuimba wimbo wa Diaspora
Unaijua Sheria copyright and patent right vizuri??
 
Anajulikana siku nyingi. Amejipa mpaka ''tuzo'' za wandishi bora Afrika. Jamaa ni laghai na hawezi kuandika hata sentensi moja kwa kiingereza kilichonyooka. Tunajua ni tapeli siku nyingi lakini ila sasa hivi tunataka kuanika ni watu wa aina gani waliomzunguka na kumtetea Mbowe.
Dah watu mnachuki za kitoto sana
 
Kuna taarifa mtaani, Nyepesi nyepesi ...Ati, mji wa yeriko UNAPUMULIWA!...
 
Hata kile kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi, ukisoma vizuri utagundua makosa ya kiuandishi mengi tu. Ni kama alkua anakopi sentensi za kzungu kuja kiswahili sasa hzo tafsiri zenyewe ni kama unasoma lugha ngeni usioijua kabisa kumbe kiswahili.....lakini mbaka anauza vtabu mbaka viishe hawa walalamikaji walikua wapi??

Hivi vitabu ameuza sana hasa mitandaoni huko nadhani, kapiga hela sanaa tu huyu jamaa
Kama aliweza kukopi na kupest akapigwa hela huyu ni mjamja bro acheni chuki tafuteni mpunga
 
Mgongwa huyu wa akili anapiga hela wewe unabakia kupiga Majungu hizi no chuki za kitoto sana, mimi natofautiana na alichokifanya ila siwezi kubeza uwezo wake,
 
Kuna taarifa mtaani, Nyepesi nyepesi ...Ati, mji wa yeriko UNAPUMULIWA!...
Kama hatuna ushahidi, tafadhali tumtunzie heshima mwanaume mwenzetu...

Yericko ni mpuuzi na kila mtu anajua, ila tujitahidi kutoa shutuma za kweli.
 
Yericko Nyerere kakopi makala nyingi sana za Mzee Joseph Mihangwa aliyekuwa gazeti la Rai na baadae Raia Mwema. Ni mbobezi wa kuiba kazi za watu na kujimilikisha.
 
Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.

Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?

Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558
Wakili Matojo naye anasema aliandika mkakati ka ajili ya CHADEMA akampa Yericko, lakini Yeri ko akauchukua na kuufanya kitabu chake.

Kwa hiyo kuna mtu zaidi ya mmoja anatoa madai haya kwa Yericko.

Jamaa kafoji mpaka jina!
 
Nilimjua huyu dogo ni mweupe alipochukua upande kwenye vita ya ukraini na urusi

Hakuwa na hoja alitanguliza ule ushabiki wa darasa la nne

Tulimuuliza Kuna tofauti Gani ya ubabe wa urusi dhidi ya ukraini na ubabe wa Ccm dhidi ya upinzani

Akabaki anatukana tu.

Wenye akili tukajua hamna kitu pale
Ni kwa vile upepo wa cdm uliwabeba vilaza wakaonekana Wana akili kuliko maccm


Mwingine ni boni yai yule nae hamna kitu kabisa mle.

Thx tu Lissie amewa expose na tumeweza kuwajua uwezo wao
Kajitakia tu huyu jamaa
 
Back
Top Bottom