NaiombaAnaehitaji soft copy ya Prisoner X aniambie maana naona jamaa ni bingwa wa kunakiri na kutafasiri kazi za watu na kuzileta humu ndani.
Baada ya wanazengo kugundua janja yake katokomea kusikojulikana na kuna kipindi alijinasibu ana taarifa nyeti za nchi kumbe janja janja tu hana lolote.
Ila ninachomkubali ni mzuri wa kucheza na google kupata taarifa zaidi ya matukio mbalimbali anazokuja kusimulia humu.
Jaribu na wewe kunakili Google tuone.Anaehitaji soft copy ya Prisoner X aniambie maana naona jamaa ni bingwa wa kunakiri na kutafasiri kazi za watu na kuzileta humu ndani.
Baada ya wanazengo kugundua janja yake katokomea kusikojulikana na kuna kipindi alijinasibu ana taarifa nyeti za nchi kumbe janja janja tu hana lolote.
Ila ninachomkubali ni mzuri wa kucheza na google kupata taarifa zaidi ya matukio mbalimbali anazokuja kusimulia humu.
Achana naye mpuuzi sana huyo jamaa. The Bold anajuaJaribu na wewe kunakiri Google tuone.
Watu sijui wakoje! Anayelalamika hajawahi kuleta makala hata moja.Achana naye mpuuzi sana huyo jamaa. The Bold anajua
Haters...Watu sijui wakoje! Anayelalamika hajawahi kuleta makala hata moja.
JPM ndio kiongozi mkuu wa nchi yetu, hivyo ni lazima aheshimiwe.Mbona umemsahau JPM na CCM ?
Mi napenda kumshukuru mheshimiwa rais JPM pamoja na chama cha mapinduzi
Matapeli ndio akina nani hao kaka?kawaida matapeli wanajua sana kujieleza
Mpuuzi mwenzako ni huyo the bold. Wote lenu moja kunakili kazi za watu na kuzitafasiri. Hamna jipyaAchana naye mpuuzi sana huyo jamaa. The Bold anajua
Nakili na wewe basi if you have interestMpuuzi mwenzako ni huyo the bold. Wote lenu moja kunakili kazi za watu na kuzitafasiri. Hamna jipya
the bold na ontarioMatapeli ndio akina nani hao kaka?
Sina interest ya kuleta humu ndani ila jua na access nyingi tu za kupata hizo information zilizochambuliwa kwa kina zaidi mnazoleta humu ndani kwa wadau.Nakili na wewe basi if you have interest
Mmhhthe bold na ontario
Ndio ukae kimya sasa kama hauna interestSina interest ya kuleta humu ndani ila jua na access nyingi tu za kupata hizo information zilizochambuliwa kwa kina zaidi mnazoleta humu ndani kwa wadau.
Tuko pamoja sana. Tatizo la rafiki yako ni mlaghai mno tofouti na wewe, unaweza kuwa mdogo kwake ila una ustaraabu kiasi fulani tofouti na yeye ajifunze kwako hili.Ndio ukae kimya sasa kama hauna interest
Sote Tupo hapa Jamiiforums kupashana habari/kufundishana/kujulishana na sio kuumbuana/kukomoana/kuzodoanaTuko pamoja sana. Tatizo la rafiki yako ni mlaghai mno tofouti na wewe, unaweza kuwa mdogo kwake ila una ustaraabu kiasi fulani tofouti na wewe ajifunze kwako hili.
Sijaona umuhimu wa yeye kuanzisha simulizi kama hii halafu atokomee kusikojulikana akisubilia michango ya wadau.
Bado upo nyuma sana kwenye Kufuatilia simulizi zake. Kaa na watu vizuri wakupe viatu vya kutembelea simulizi zilipo..Tuko pamoja sana. Tatizo la rafiki yako ni mlaghai mno tofouti na wewe, unaweza kuwa mdogo kwake ila una ustaraabu kiasi fulani tofouti na yeye ajifunze kwako hili.
Huwa nakuona ukianzisha simulizi zinaisha vizuri tena kwa wakati tofouti na yeye, amefanya stori zake kuwa chuma ulete kwa baadhi ya member's humu ndani..
Sijaona umuhimu wa yeye kuanzisha simulizi kama hii halafu atokomee kusikojulikana akisubilia michango ya wadau.
Umewahi kutapeli nini na The Bold?the bold na ontario
Jana tu nilijikwaa nikaanguka badala nipewe pole ndo nasikia sauti inaniambi kaka wa watu tafuta hela si unaona hata mawe hayakupendi yanakuangusha tu!.. mwishowe yaje yakuuwe..[emoji28]
Niendelee au niongeze sauti..??