King Easy
Member
- Aug 11, 2013
- 46
- 59
NaiombaAnaehitaji soft copy ya Prisoner X aniambie maana naona jamaa ni bingwa wa kunakiri na kutafasiri kazi za watu na kuzileta humu ndani.
Baada ya wanazengo kugundua janja yake katokomea kusikojulikana na kuna kipindi alijinasibu ana taarifa nyeti za nchi kumbe janja janja tu hana lolote.
Ila ninachomkubali ni mzuri wa kucheza na google kupata taarifa zaidi ya matukio mbalimbali anazokuja kusimulia humu.