Habibu B. Anga (The Bold) Mungu akupe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate your writings brother. All the best

Anaehitaji soft copy ya Prisoner X aniambie maana naona jamaa ni bingwa wa kunakiri na kutafasiri kazi za watu na kuzileta humu ndani.

Baada ya wanazengo kugundua janja yake katokomea kusikojulikana na kuna kipindi alijinasibu ana taarifa nyeti za nchi kumbe janja janja tu hana lolote.

Ila ninachomkubali ni mzuri wa kucheza na google kupata taarifa zaidi ya matukio mbalimbali anazokuja kusimulia humu.
Naiomba
 
Jaribu na wewe kunakili Google tuone.
 
Sina interest ya kuleta humu ndani ila jua na access nyingi tu za kupata hizo information zilizochambuliwa kwa kina zaidi mnazoleta humu ndani kwa wadau.
Ndio ukae kimya sasa kama hauna interest
 
Tuko pamoja sana. Tatizo la rafiki yako ni mlaghai mno tofouti na wewe, unaweza kuwa mdogo kwake ila una ustaraabu kiasi fulani tofouti na yeye ajifunze kwako hili.

Huwa nakuona ukianzisha simulizi zinaisha vizuri tena kwa wakati tofouti na yeye, amefanya stori zake kuwa chuma ulete kwa baadhi ya member's humu ndani..

Sijaona umuhimu wa yeye kuanzisha simulizi kama hii halafu atokomee kusikojulikana akisubilia michango ya wadau.
 
Tuko pamoja sana. Tatizo la rafiki yako ni mlaghai mno tofouti na wewe, unaweza kuwa mdogo kwake ila una ustaraabu kiasi fulani tofouti na wewe ajifunze kwako hili.

Sijaona umuhimu wa yeye kuanzisha simulizi kama hii halafu atokomee kusikojulikana akisubilia michango ya wadau.
Sote Tupo hapa Jamiiforums kupashana habari/kufundishana/kujulishana na sio kuumbuana/kukomoana/kuzodoana
 
Tuko pamoja sana. Tatizo la rafiki yako ni mlaghai mno tofouti na wewe, unaweza kuwa mdogo kwake ila una ustaraabu kiasi fulani tofouti na yeye ajifunze kwako hili.

Huwa nakuona ukianzisha simulizi zinaisha vizuri tena kwa wakati tofouti na yeye, amefanya stori zake kuwa chuma ulete kwa baadhi ya member's humu ndani..

Sijaona umuhimu wa yeye kuanzisha simulizi kama hii halafu atokomee kusikojulikana akisubilia michango ya wadau.
Bado upo nyuma sana kwenye Kufuatilia simulizi zake. Kaa na watu vizuri wakupe viatu vya kutembelea simulizi zilipo..
 
Jana tu nilijikwaa nikaanguka badala nipewe pole ndo nasikia sauti inaniambi kaka wa watu tafuta hela si unaona hata mawe hayakupendi yanakuangusha tu!.. mwishowe yaje yakuuwe..[emoji28]

Niendelee au niongeze sauti..??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom