PostGE2025 Habibu Mchange: Lissu na Heche ndiyo walioratibu maandamano ya Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Katika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio walioratibu maandamano ya Oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu.

Habari za hovyo kama hizi mnalmaliza mb zetu bure tu msilete. Huyo mchange ni tahira
 
Mtu yuko gerezani lakini bado mnamfuatilia

Chama hakijashiriki uchaguzi bado mnakitajataja..huu ndio muhaho sasa
Katika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio walioratibu maandamano ya Oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu.
 
Mtu yuko gerezani lakini bado mnamfuatilia

Chama hakijashiriki uchaguzi bado mnakitajataja..huu ndio muhaho sasa
Katika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio walioratibu maandamano ya Oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu.
 
Huyu pimbi dish lilishayumba kitambo marinda nayo hana!

Odemba nae ni pimbi kiazi kuwahoji matahahira.
 
Imani yangu kwamba CHADEMA ni chama kikubwa mno kuliko CCM naipata kupitia hizi sarakasi zinazozaa harakati za kuifanya CHADEMA ionekana chama cha kihalifu.

Tangu CHADEMA ihusishwe na Kila aina ya takataka na kila juhudi za kuisambaratisha zinavyoshindwa kufikia malengo, ndivyo imani yangu Kwa CHADEMA inavyoimarika.

Kwa mliojisahaulisha... Huyu Mchange ndiyo na wenzake kina Juliana Shonza, Mtela Mwampamba walijinasibu watafanya kila waliwezalo ili CHADEMA ikataliwe na vijana... Mwisho wa siku wao ndiyo walikataliwa na vijana.
 
Katika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio walioratibu maandamano ya Oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu.
Huyu lazima ni mboga ya abdul
 
Vizuri sana haya next week odemba mualike JOHN WEGESA HECHE aje athibitishe tuhuma hzo maana ni yeye na mwenyekiti wake ndo watuhumiwa, T.A.M LISSU yuko jera hawez kufka hapo. uspomualika miongon mwa watuhumiwa hao bs wewe odemba na ni wewe ni walewale tu maana nakuona kila wk upo na majambaz ya taifa hli maccm umeshaogopa kualika watu wny mawazo tofauti.
 
Kwani odemba yupo star TV tu?
 
Huyu mtu hana utimamu wa akili, kwa nini mnaleta habari zake humu?
Jana kamshambulia Father Kitima na mapadru Wakatoriki mpaka unajiuliza hivi huyu ana akili kweli huyu? Odemba akamuuliza kuhusu Mashekhe waliosema watakata watu vichwa akaanza kurukaruka hana jibu...
 
Huyu dogo chawa kaanza kitambo sana, kalelewa na Zitto na Mkumbo, amekuwa chawa pro
 
Mnafiki akiwa anaongea uongo na anataka kuusimamia uongo huo, HUWA WANA KAWAIDA YA KUONGEA HUKU WAMEVUTA MIDOMO NA KUIREFUSHA MBELE
 
Wameshindwa kuthibitisha mahakamani na wataalam wao wa doria mtandaoni pamoja na mbwembe zote ndio hii takataka itapata mileage hapa??

Mama yao alimuita simba na akiunguruma kila kiumbe kinatawanyika!
 
Ni chombo gani cha habari kimemwajiri huyo Mchange? Ina maana wamekosa kabisa watu wenye akili timamu mpaka wamwajiri huyo Mchange?
 
Back
Top Bottom