funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Acheni kuficha kichwa kama mbuniHuyu mtu hana utimamu wa akili, kwa nini mnaleta habari zake humu?
Acheni kuficha kichwa kama mbuniHuyu mtu hana utimamu wa akili, kwa nini mnaleta habari zake humu?
Naelewa ni kwa nini CCM hutumia mabavu wakati wa chaguzi mbali mbali, kumbe wajenga hoja wao ni aina ya watu kama wewe na huyo Mchange unayemshadadia.Acheni kuficha kichwa kama mbuni
Hili tatizo naliona kwenye vyombo karibia vyote vya habari. Havialiki wote wenye mitazamo tofauti na matakwa ya serekali.Vizuri sana haya next week odemba mualike JOHN WEGESA HECHE aje athibitishe tuhuma hzo maana ni yeye na mwenyekiti wake ndo watuhumiwa, T.A.M LISSU yuko jera hawez kufka hapo. uspomualika miongon mwa watuhumiwa hao bs wewe odemba na ni wewe ni walewale tu maana nakuona kila wk upo na majambaz ya taifa hli maccm umeshaogopa kualika watu wny mawazo tofauti.
Unafungua zanini?Habari za hovyo kama hizi mnalmaliza mb zetu bure tu msilete. Huyo mchange ni tahira
So far najua anayetumia maguvu kwenye siasa ni chadema.Naelewa ni kwa nini CCM hutumia mabavu wakati wa chaguzi mbali mbali, kumbe wajenga hoja wao ni aina ya watu kama wewe na huyo Mchange unayemshadadia.
Ma GNZ watamtembeleaHuyu muda wake unahesabika.
Matako yake by Sugu huyu ndio amechukua nafasi ya Musiba kwa sasaKatika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio walioratibu maandamano ya Oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu.
Maandamano ya Wakatoliki nani aliratibu?Katika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio walioratibu maandamano ya Oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu.