Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 1,319
- 2,334
Kupata general knowledge ya haya mambo plus nipate na kuweza kufanya kitu kama hikoMkuu nikufundishe kufanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupata general knowledge ya haya mambo plus nipate na kuweza kufanya kitu kama hikoMkuu nikufundishe kufanya nini?
Burp suiteWazee wa metasploit, sqlmap,
Yeah hacking is about understanding how things worls including networkSure mkuu, na njia za hacking ni zile zile tu, mtu anachagua kulingana na pahala anapotaka kukabiliana nako.
Man-in-the-Middle(MitM) ndio main trick ya Wifi hackingBasi ndio hivyo, lakinini trick flani kutumia public wi-fi kama una uhitaji..
Sasa tutazitambuaje?Dah Kuna link siku hizi wakenya wanatengeneza uki click tu unakuwa directly hacked
Password ya nini?Yaani wakuu nisaidieni njia ya kupata password APA nipeni madini
Nenda hackerone wanaprogram ya hack101,CTF,bug bounty program na ukikomaa unapata hadi mualiko.Sasa hayo madini au notes za kusoma networking nayatoa wapi mkuu, nipe mwongozo hapo
Kuna siku nilikuwa najiunga na mtandao flani, kama kawaida nikaambiwa nitatumiwa code niijaze na kweli punde nikatumiwa hiyo codeBasi ndio hivyo, lakinini trick flani kutumia public wi-fi kama una uhitaji..
Uliona link za sijui UNICEF foundation sijui wanapeana pesa bonyeza hapa kupokea zako don't link most unknown links usi click pia hacking links nyingi huanza na http// badala ya httpsSasa tutazitambuaje?
Kama ni OTP code it's safe sometimes huwa kwenye OTP code wanakutumia ili wajue je kweli ni wewe but if it wasn't an OTP ya kujaza kwenye website yao it's not safeKuna siku nilikuwa najiunga na mtandao flani, kama kawaida nikaambiwa nitatumiwa code niijaze na kweli punde nikatumiwa hiyo code
Lakini kabla sijajaza hiyo code ghafla,ikaingia sms kwenye siku imeandikwa namba ambazo zipo sita kama tu zinavyokuwa za code halafu na maneno haya kwa mbele
"Please proceed with this,tumia busara"
Namba ilikuwa ngeni
Je hapo kuna nini
Ilikuwa ni whatsapp verification codeKama ni OTP code it's safe sometimes huwa kwenye OTP code wanakutumia ili wajue je kweli ni wewe but if it wasn't an OTP ya kujaza kwenye website yao it's not safe
Kiongozi japo mi si hacker lakini niseme tu, hakuna shule inafundisha kuwa black hacker, labda masuala ya cyber n.kKupata general knowledge ya haya mambo plus nipate na kuweza kufanya kitu kama hiko
Bado sijaelewa huo mchongoWanaiba credits card details halafu wanafanya kama laundering flani kupitia njia tofauti ili wapate ile pesa..
Hapa sasa nimekuelewa mkuuKitendo Cha kutumia taarifa za kadi zilizopatikana kinyume Cha Sheria ili kufanya miamala kwa faida ya kifedha.
Ndio maana unatakiwa usitoe hovyo taarifa zako za kibenki in unknown sources or non trusted websites or apps
Wifi password 🔑 🔑 😞 😞Password ya nini?
Ahsante, nimekuelewaKiongozi japo mi si hacker lakini niseme tu, hakuna shule inafundisha kuwa black hacker, labda masuala ya cyber n.k
Hacker wengi wanajifunza wenyewe kwa kuisoma mifumo vyema na baadae kuanza kujaribu kui challenge..
Hacker ni mtafiti na mdadisi kila siku anatafuta njia mpya ya ku hack kitu flani..
Hivyo usipokuwa na msukumo wa ndani wa udadisi na utafiti huwezi kuwa hacker mzuri, uwe white au black kwa sababu..
Kila siku watu cyber security wanaziba upenyo kwa black hacker wasi hac mifumo, black hacker anakaa chini na kutafuta tundu lingine la kupitia, cyber wanaficha tena, black hacker anatafuta pengine tena pa kupitia,hivyo ni mchezo wa kuwindana kama paka na panya, ukifundishwa trick moja kuna muda itakuwa useless itazuiliwa...
Vile vile kwa cyber na wao mifumo yao iishakuwa vulnerable na hackers wanaweka ulinzi kwa namna nyingine, hivyo ni zoezi endelevu kila siku... hivyo usiokuwa creative, mdadisi na mtafiti, critical thinker, hacking is not for you..
-AI inaweza kudetect na kublock malware tofauti na traditional AntivirusNina swali kwenu hackers,how AI affect the entire hacking process?
100%Kiongozi japo mi si hacker lakini niseme tu, hakuna shule inafundisha kuwa black hacker, labda masuala ya cyber n.k