Hackers tukutane hapa!

Hackers tukutane hapa!

Sasa hayo madini au notes za kusoma networking nayatoa wapi mkuu, nipe mwongozo hapo
Nenda hackerone wanaprogram ya hack101,CTF,bug bounty program na ukikomaa unapata hadi mualiko.
 
Basi ndio hivyo, lakinini trick flani kutumia public wi-fi kama una uhitaji..
Kuna siku nilikuwa najiunga na mtandao flani, kama kawaida nikaambiwa nitatumiwa code niijaze na kweli punde nikatumiwa hiyo code
Lakini kabla sijajaza hiyo code ghafla,ikaingia sms kwenye siku imeandikwa namba ambazo zipo sita kama tu zinavyokuwa za code halafu na maneno haya kwa mbele
"Please proceed with this,tumia busara"
Namba ilikuwa ngeni
Je hapo kuna nini
 
Sasa tutazitambuaje?
Uliona link za sijui UNICEF foundation sijui wanapeana pesa bonyeza hapa kupokea zako don't link most unknown links usi click pia hacking links nyingi huanza na http// badala ya https
 
Nina swali kwenu hackers,how AI affect the entire hacking process?
 
Kuna siku nilikuwa najiunga na mtandao flani, kama kawaida nikaambiwa nitatumiwa code niijaze na kweli punde nikatumiwa hiyo code
Lakini kabla sijajaza hiyo code ghafla,ikaingia sms kwenye siku imeandikwa namba ambazo zipo sita kama tu zinavyokuwa za code halafu na maneno haya kwa mbele
"Please proceed with this,tumia busara"
Namba ilikuwa ngeni
Je hapo kuna nini
Kama ni OTP code it's safe sometimes huwa kwenye OTP code wanakutumia ili wajue je kweli ni wewe but if it wasn't an OTP ya kujaza kwenye website yao it's not safe
 
Kupata general knowledge ya haya mambo plus nipate na kuweza kufanya kitu kama hiko
Kiongozi japo mi si hacker lakini niseme tu, hakuna shule inafundisha kuwa black hacker, labda masuala ya cyber n.k
Hacker wengi wanajifunza wenyewe kwa kuisoma mifumo vyema na baadae kuanza kujaribu kui challenge..
Hacker ni mtafiti na mdadisi kila siku anatafuta njia mpya ya ku hack kitu flani..

Hivyo usipokuwa na msukumo wa ndani wa udadisi na utafiti huwezi kuwa hacker mzuri, uwe white au black kwa sababu..

Kila siku watu cyber security wanaziba upenyo kwa black hacker wasi hac mifumo, black hacker anakaa chini na kutafuta tundu lingine la kupitia, cyber wanaficha tena, black hacker anatafuta pengine tena pa kupitia,hivyo ni mchezo wa kuwindana kama paka na panya, ukifundishwa trick moja kuna muda itakuwa useless itazuiliwa...

Vile vile kwa cyber na wao mifumo yao iishakuwa vulnerable na hackers wanaweka ulinzi kwa namna nyingine, hivyo ni zoezi endelevu kila siku... hivyo usiokuwa creative, mdadisi na mtafiti, critical thinker, hacking is not for you..
 
Ahsante, nimekuelewa
 
Nina swali kwenu hackers,how AI affect the entire hacking process?
-AI inaweza kudetect na kublock malware tofauti na traditional Antivirus
-AI Ina weza ku atomate attacks mfano kuhacke password
-AI can discover exploit
 
Kiongozi japo mi si hacker lakini niseme tu, hakuna shule inafundisha kuwa black hacker, labda masuala ya cyber n.k
Hacker wengi wanajifunza wenyewe kwa kuisoma mifumo vyema na baadae kuanza kujaribu kui challenge..
Hacker ni mtafiti na mdadisi kila siku anatafuta njia mpya ya ku hack kitu flani..

Hivyo usipokuwa na msukumo wa ndani wa udadisi na utafiti huwezi kuwa hacker mzuri, uwe white au black kwa sababu..

Kila siku watu cyber security wanaziba upenyo kwa black hacker wasi hac mifumo, black hacker anakaa chini na kutafuta tundu lingine la kupitia, cyber wanaficha tena, black hacker anatafuta pengine tena pa kupitia,hivyo ni mchezo wa kuwindana kama paka na panya, ukifundishwa trick moja kuna muda itakuwa useless itazuiliwa...

Vile vile kwa cyber na wao mifumo yao iishakuwa vulnerable na hackers wanaweka ulinzi kwa namna nyingine, hivyo ni zoezi endelevu kila siku... hivyo usiokuwa creative, mdadisi na mtafiti, critical thinker, hacking is not for you..
100%
 
Back
Top Bottom