Hii nchi imeozaHapana kwakweli, hao ni wale vijana wazembe shuleni. Mimi kuna kijana alikuja nyumbani alikaa kama week, kumbe wameitana na vijana wenzake wanamlipa anaingilia mfumo wa chuo anabadili marks. Alafu ni kidogo tu 20s
πππNa wewe unataka kutuhack sasa
Ngoja wakudukueMa IT wa bongo wanachojua ni kuchoma CD na kuweka WhatsApp kwenye simu πΌ
Hii tulifanya chuo 2008,palinukaHapana kwakweli, hao ni wale vijana wazembe shuleni. Mimi kuna kijana alikuja nyumbani alikaa kama week, kumbe wameitana na vijana wenzake wanamlipa anaingilia mfumo wa chuo anabadili marks. Alafu ni kidogo tu 20s
Wapo wadukuzi wazuri tu,halafu hawapendi simu ni laptop tuNgoja wakudukue
Hakuna mfumo usioingilika,acha kujidanganyaLabda hicho chuo cha juu ya ghorofa huku chini fremu na vyumba vya kuishi wapangaji.
Chuo chenye strong system kama UDSM, MZUMBE, DARTU, SUA ama UDOM huwezi kuingilia mfumo wa SARIS.
Alikamatwa?Yule jamaa alikuwa ni hatari, mwamba anategua supp, anakulipia ada, anategua retake yaani ni ww, anakutengezea GPA unayotaka, kikubwa maelewano tu
Kalaghabaho hamna mkate mgumu ndgu yangu.Labda hicho chuo cha juu ya ghorofa huku chini fremu na vyumba vya kuishi wapangaji.
Chuo chenye strong system kama UDSM, MZUMBE, DARTU, SUA ama UDOM huwezi kuingilia mfumo wa SARIS.
Mwaka 2022 wajanja waliingilia suasis wakajilipia ada, wakapata ticket ya mtihani. SUA mifumo yao ya kizembe sana.Labda hicho chuo cha juu ya ghorofa huku chini fremu na vyumba vya kuishi wapangaji.
Chuo chenye strong system kama UDSM, MZUMBE, DARTU, SUA ama UDOM huwezi kuingilia mfumo wa SARIS.
Vijana wenzako wakibaki jobless furaha yako inakuwa ni ipi? , maana huwezi zuia bodaboda kwasababu ya ajali mojaNaunga mkono hoja.
Kwa sasa makampuni ya simu yabakize mawakala halali sio wanaotembea mitaani. Ofisi za kueleweka hata hvyo watu wengi wameshajisajili hakuta kuwa na foleni. Ingawa hadi mtu apigwe lazima akose umakini kwenye sehemu moja ya mnyororo wa michakato ya kutapeliwa kwake.
HaziplayMajeshi yetu yangewekeza nguvu zao huku...
Makampuni ya simu ni genge la wanyang'anyi tu.. Nikikumbuka nilivyopigwa danadana na refund yangu toka ATCL, mpaka nimeamua kuacha tu.. Ila nikikumbuka 385,000 yangu naumia sana. Airtel na Vodacom basi tu.. Lakini kuna dhuluma kubwa sana tunafanyiwa. .Niliibiwa simu yangu, wezi wakabadikisha password zangu na kuiba hela.
Hadi Leo makampuni ya simu yameshindwa kuelewa pin zangu za.M Pesa na Tigo Pesa zilibadiloshwaje?
Wanashirikiana na watu wa makampuni ya simu
Hakuna haja ya mobile wakala anymoreNaunga mkono hoja.
Kwa sasa makampuni ya simu yabakize mawakala halali sio wanaotembea mitaani. Ofisi za kueleweka hata hvyo watu wengi wameshajisajili hakuta kuwa na foleni. Ingawa hadi mtu apigwe lazima akose umakini kwenye sehemu moja ya mnyororo wa michakato ya kutapeliwa kwake.
Wazee wa Cyber wao wanadeal na chadema tuHali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao
Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA
Kadi za bank
Passwords nk
Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za mitandao ya kusajili simu.. Kuna mama kapigwa milion 7 mzee mstaafu kiinua mgongo 25M kimekwenda na maji
Sikiliza voice note hizi
View attachment 3099986
Uko dunia ya wapi wewe? Inamaana hata media hufatilii?Labda hicho chuo cha juu ya ghorofa huku chini fremu na vyumba vya kuishi wapangaji.
Chuo chenye strong system kama UDSM, MZUMBE, DARTU, SUA ama UDOM huwezi kuingilia mfumo wa SARIS.
Mwizi katumia kuiba pesa kutumia simu yake ambayo imesajiriwa kwa nida ambayo inatoa utambulisho wa mhusika mahali alipo na shule aliyosomea na kazi anayofanya na ndugu zake walipo.Na hii mitandao ya simu, inauza sana taarifa za faragha,
AIRTEL MKIRUDIA UPUUZI MLIOFANYA MAJUZI, Nitawapeleka mahakamani ππ