Hadhi na heshima ya JWTZ imeshushwa mara 10 na wanasiasa

Jeshi la WAHUNI TanzaniaJWTZ ni sungusungu iliyo advance kidogo.
Hao wavaa combats ni sungusungu waliozubaa. It’s obvious wengi wao ni machoko, mwanaume kamili hawezi kupelekeshwa kama wanavyopelekeshwa wao. Wakimuona Ridhiwani au Abdul wanajinyea kwa hofu ya kukaripiwa.
 
Jana nlikuwa iringa,wameweka hema vichakani utadhani wapo vitani enzi za ujima,Mimi nasema waache wateseke mpaka Wanye maana akili za kushikiwa
 
Acha upumbavu dhambi sio kuuwa tu kuna rundo la madhambi hapa duniani ambayo hata ww unayafanya kila siku hivyo usijihesabie haki kwa makosa ya mwingine na wenda ww hapo ulipo ni mchafu mbele ya mungu kuliko hata huyo samia unaye muona ni muuaji maana mungu ahukumu kwa mihemko.
Sawa serikali hakutakiwa kuuwa ila nyunyi mlikuwa na haki ya kufanya wizi na uharibifu sio pu.bavu ww.

Kwenye biblia Mungu alisema watu wangu wana angamizwa kwa kukosa maarifa walio kosa maarifa ndo nyinyi msio kuwa na akili.
 
Nilishasema Tanzania hatuna jeshi, kile ni kikundi cha akina Cocastic waliovaa magwanda.
 
Uliwafagilia sana kabla ya 29/10
 
Jeshi Gani mbwembwe tu,huwa tukimkalisha mmoja mtaani wanaenda ita wenzao kumi!?ila aje mwanajeshi wa hili jeshi tuuchape mkono kwa mkono bila silaha nakalisha mapema tu
 
Kagame atusaidie kuwanyoosha hawa jeiwii
 
Kwani ni uongo kwamba majeshi yanatumika kisiasa na ccm?!
 
Ile haikuwa vita bali ni mauaji ya kukusudia. Mauaji ya kigaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…