Uchaguzi 2020 Hadhi ya Lissu ni sawa na wagombea ubunge, tusimlinganishe na Rais Magufuli

Bora umesema
Maana kuna watu mpaka wanashangaza wanavyompaisha wangejua anajulikana Dar tu na singida
Magufuli alikuwa anajulikana CHATO tuu kipindi anateuliwa chama tu ndio kilimbeba Sana. Na ndio nyie mlisema hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi, leo mwasema tofauti
 
Kamanda jikite kwenye hoja
****.... ACHA KUWEWESEKA! NEC HAWAJAFUNGULIA KAMPENI! LISSU HAFANYI KAMPENI. ANATAFUTA WADHAMINI. KWAIO HATAKIWI KUFANYA KAMPENI YOYOTE. SASA ULITAKA AWAAHIDI MAJI AU UMEME WANANCHI WAKATI MUDA WA KAMPENI BADO??
 
Lissu anaigiza kugombea urais
Mkuu nadhani mdahalo ungekuwa poa sana,ili tuone hiyo mechi Kati ya Real Madrid na Lipuli inavyopigwa and in the end tuconclude who is utopolo and who is not
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Sawa hadhi ya Lissu ni sawa na ya mbunge, literally kwa sababu alikuwa mbunge hadi Magufuli kwa kushirikiana na Ndugai walipompora ubunge. Na pia we are only having one president at the moment who is Magufuli. Sasa unless you are high on weed or something, yes Lissu ana hadhi ya ubunge na Magufuli ana hadhi ya urais.

However, kwanini Lissu na hadhi yake ya ubunge awasumbue kiasi cha nyie wahuni kuhangaika kila mahali kumchafua kwa hili au lile?

Jibu ni kwamba licha ya Magufuli kufanya siasa peke yake kwa miaka mitano mfululizo bado haniamini. Na licha ya kila aina ya hujuma zenu dhidi ya Lissu, Mungu yupo nae, hatetereki bali ninyi "Kamati Kuu ya Roho mbaya" mpo roho juu.
 
Kamanda kwahiyo kampa "uenyekiti wa SADC" Tundu?
 
Najua zinabana, jipeni moyo
 
Lissu anaigiza kugombea urais
Mkuu watanzania wote wangekuwa na akili Kama yangu,mwaka huu ungekuwa ni mwaka wa kumaliza huu upuuzi,yaani Kama katiba Ina sema kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kuwa kiongozi Sasa hii jeuri na hizi kejeri mnapata wapi? Kwa hiyo watanzania wote wangekuwa Kama Mimi tungekomaa hadi mwisho tuone hii jeuri inatoka wapi
 
Mkuu huo ndiyo ukweli yaani kuanzia Dodoma anapuuzwa leo kahama kapokelewa na Bodaboda yaani vichekesho vitupu.
 
Waangalie tu wasife kabla ya uchaguzi
 
Alishasema ye ana damu ya kenya..maana alipoumwa aliwekewa damu nyingi ya wakenya..kwa hiyo hatupambani tu na mpinzani ndani ya nchi ila pia tunapambana na nchi jirani.
upo sahihi mkuu
 
Watanzania wanajua Rais wao ni JPM nyie wachache mpo,tunawasikiliza kwa mujibu wa demokrasia Ila tunawapuuza
 
Huwa wanapiga picha kwa kuchagua sehemu yenye watu ndio wanazungusha mitandaoni
Mkuu huo ndiyo ukweli yaani kuanzia Dodoma anapuuzwa leo kahama kapokelewa na Bodaboda yaani vichekesho vitupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…