Hadi sasa kuna uwezekano wa 75% wa fainali ya Simba vs Berkane kurudishwa Uwanja wa Mkapa

Jambo kwanza la msingi ni kupambana kubakisha fainali Dar es Salaam.
 
sahau hiyo kitu,kama uwanja wa amaan haufau mbungi litapelekwa nchi nyingine
 
Kwani hofu yako ni nini?uwanja hauchezi mpira.wanaocheza ni wachezaji hivyo hata wacheze kenya issue ni ubora wa wachezaji.
 
Mi nikajua una information kuhusu hilo unaloongelea kumbe ni imani tu.
 
Mamlaka ya hali ya hewa imeshatangaza mvua zinanyesha kwa Mkapa mechi ya mwisho palijaa kidogo waogolee nani atakubali fainali iingie doa kisa mapato ?
 
Nendeni mkaloge Zanzibar,kwa mkoa msahau.
We kiazi, yeye anataka warembo..wewe unaleta stor za uchawi...Karne hii ya artificial intelligence unawaza uchawi. Debe tupu.
 
Haya, CAF wameshaamua! Nendeni mkacheze Zanzibar. Na kama hamtaki kwenda kucheza Aman, fanyeni tu kususia huo mchezo. Mwisho wa siku Bodi ya ligi itawatetea.
Bado mnalala, mnaota na kuamka mkiwaza derby ndiyo maana kila sehemu mnaongelea bodi ya ligi. Maumivu mnayopitia ni makali sana, poleni.

Tunajua aliyempa Hersi ofisi Morocco ndiye huyo huyo amehusika katika kuuhamisha mchezo na kuupeleka Zanzibar. Huu mchoro mzima naujua vizuri tu.
 
Haya tukutane sasa Aman Stadium kwa ajili ya mechi ya marudio! Whether you like, or not.
 
Ila waarabu ni noma yaani wanakufanyia fitna nchini kwako
Sio waarabu wote..kwanza saiv hizo timu za kiarabu ni kama Sasa nchi zinazotoka kusini ama magharibi mwa afrika wameshazijulia na ndio mana saiv hawatambi na michezo yao michafu mingi inajulikana na Zaid matajiri wanajitokeza kudhamini hizi timu za kusini na magharibi mwa afrika , ila Bado nchi ya Morocco kama ulikua hujui ndio wenye USHAWISHI mkubwa sana huko CAF na kwingineko, unakumbuka ishu ya jezi sijui ramani kwenye jezi....
 
Ila waarabu ni noma yaani wanakufanyia fitna nchini kwako
Hapa wa kulaumiwa ni serikali yako kwa kuendekeza siasa na ubabaishaji. Ule uwanja wa Taifa umekuwa ni wa hovyo sana siku hizi, ikitokea mvua imenyesha. Na ukarabati wake unatia mashaka.

Yale matope yamechangia mchezo kuhamishiwa Zanzibar.
 
Ila waarabu ni noma yaani wanakufanyia fitna nchini kwako
Berkane kwenyewe walipotupeleka ni kama Singida tu na hawana hata uwanja wa ndege wa kimataifa. Na uwanja wao kama wa KMC halafu eti wanaongelea viwanja vyenye standard.
 
Haya tukutane sasa Aman Stadium kwa ajili ya mechi ya marudio! Whether you like, or not.
Tatizo huwa mnatetea vitu kwa kujiamini sana, vikienda kinyume mnapotea. Tukiwatag mnajifanya kama tag hamzioni.
 
Ngoja kwanza, yaani CAF ihairishe mechi tena ya Fainali kisa umekataa kuchezea uwanja ambao simba iliuchagua kama uwanja mbadala!!? Just be serious Nigga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…