stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
- Thread starter
-
- #21
Ukweli ndio huo. Kusema hakutakuwa na vita kati ya Israeli na waarabu ni uongo.Daaaah ... Sisi tulidhani akija mwingine atakuwa soft? Yaani unamaanisha kupeleka moto kwa Iran na Palestine ni sera za Israel? Hii sasa inatisha. Mi nadhani mbaya wetu ni Netanyau tu...
Sijui kwanini waarabu wanashindwa kuishi na mayahudi mbona ni kama watu wema sana?Kumbe Israel kuna waarabu na wanaruhusiwa kupiga kura!
Ukweli ndio huo. Kusema hakutakuwa na vita kati ya Israeli na waar
Sijui kwanini waarabu wanashindwa kuishi na mayahudi mbona ni kama watu wema sana?
πDaaah hata kuandika hujui unashabikia siasa za Israel.... Hii nchi hii π€£
π
Wasiyempenda...Netanyahu amepenya
Aiseeeh!Peleka moto sana. Netanyau.
Mpk kubazi wafutike ukanda wa GAZA.
Kazi ni kipimo cha utu
Sio kupiga kura tu!!Kumbe Israel kuna waarabu na wanaruhusiwa kupiga kura!
umeeleza vzuri sana, bibi bado ngoma nzito, atafanikiwa kuwashawishi wapinzani wake waungane kuunda serikali? ngoja tusubiri tuone.Hapo bado kushinda maana aliktakiwa apate Siti 61 yaan kura 61, ndipo aunde serikali.Lakini bado ana nafasi ya kuunda serikali endapo ataungwa mkono na senetors wengine.
SIo tuu wanaruhusiwa kupiga kura, wanaruhisiwa kugombea nafasi za uwakilishi.Kumbe Israel kuna waarabu na wanaruhusiwa kupiga kura!
Kama watu wema Hitler asingewafyekaUkweli ndio huo. Kusema hakutakuwa na vita kati ya Israeli na waarabu ni uongo.
Sijui kwanini waarabu wanashindwa kuishi na mayahudi mbona ni kama watu wema sana?
Kumbe mayahudi wana uvumilivu wa kisiasa.Sio kupiga kura tu!!
kuna wagombea 19 wameshinda
Lkn ukienda kwenye Makanisa kumejaa wahuni tu
utapigwa propaganda za uwongo na Sadaka utawapa π€
Wakiambiwa ukweli
wanaugomea
Mazwazwa tuna yaachaga tuβ
wanazuoni wa biblia wanadai et hao jamaa zilianza kupigwa tangia wakiwa tumboni, kngne kuna bifu la kupora uzao wa kwanza kwa bakuli la mchuzi na kupora baraka za mmoja kutoka kwa baba.Ukweli ndio huo. Kusema hakutakuwa na vita kati ya Israeli na waarabu ni uongo.
Sijui kwanini waarabu wanashindwa kuishi na mayahudi mbona ni kama watu wema sana?
Na kwa Nini na wao wajitenge wasijichanganye na wengine?? Kitendo Cha kuanzisha vyama vyao vya waarabu tupu ni kujibagua pia.Netanyahu kaapa hawezi kuunda serikali na vyama vya warabu same na Eisenkot. Which means vyama wanavyoongoza Netanyahu na Eisenkot viko tayari kurudia uchaguzi ila sio kushirikiana na vyama vya waarabu kuunda serikali. Hii inatokea katika nchi inayotambulishwa kama muhimili na mfano wa demokrasia middle east. Waarabu wanabaguliwa ndani ya nchi yao ila kitu hiki hiki kikifanywa kwa jews huko katika mataifa mengine waliko itaonekana ni ubaguzi dhidi ya wayahudi na huenda kelele za anti semitism zinaanza. Is this fair?
ππππDaaah hata kuandika hujui unashabikia siasa za Israel.... Hii nchi hii π€£
Nimeshangaa km sio kuchoka kabisa, LolKumbe Israel kuna waarabu na wanaruhusiwa kupiga kura!