Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Alitakiwa awe na 61 seats ili aunde Serikali peke yake. Hapo ni aidha ajiunge na "Waarab" ambao hawapendi nao hawampendi au mpinzani wake ajiunge na "Waarab" wamuondoe.Wakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera.
Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha?
Alamusiki.
Wakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera.
Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha?
Alamusiki.
Sasa kama israel haiwezi kukaa chini na waarabu, inakuwaje israel kuna vyama vya waarabu? Na wanawawakilishi bungeni, ina maana bungeni watawatengaInaonyesha wazi wewe huzijui siasa za Israel na unaongozwa na Mihemko ya msikitini!!! Israel kamwe haitakaa chini na waarabu labda wao waache Ugaidi bila hivyo chinjachinja utaendelea mpaka wote waishe!! Usijidanganye kuwa kiongozi yeyote wa Israel atakuwa soft kwa sababu ya kura za waarabu Hilo Saha na kawadanganye Misikitini kwenu tu!!
Israel hawana ubaguzi lakini haitatokea Israel kuwa na Waziri Mkuu wa Kiarabu wao wakae tu Bungeni kubwabwaja wanavyotaka lakini sahau waarabu kuiongoza Israel kwa ngazi ya juu Serikalini!!Sasa kama israel haiwezi kukaa chini na waarabu, inakuwaje israel kuna vyama vya waarabu? Na wanawawakilishi bungeni, ina maana bungeni watawatenga
Israel hawana ubaguzi lakini haitatokea Israel kuwa na Waziri Mkuu wa Kiarabu wao wakae tu Bungeni kubwabwaja wanavyotaka lakini sahau waarabu kuiongoza Israel kwa ngazi ya juu Serikalini!!
Nadhani hakuna kwasababu wote ndo walewale.Palestina na Gaza kuna vyama vya kiarabu na waarabu?
Endelea kuharisha tu!!! Pamoja na waarabu kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa ajili ya kumpinga Mwamba Netanyahu matokeo yake wameangukia Pua!!Waarabu hawataki kuwaongoza Waisrael wenye Usodoma wao !!!
Wanataka taifa lao
wajiongoze wenyewe kwa wenyewe!!!
Ashinde yeyote hapo, ila makobaz wataendelea kupelekewa moto vile vile 🔥
Leo ni tarehe moja, nadhani tarehe 3 au 5 USA kuna uchaguzi. Israel wakishaunda serikali na USA wakamaliza uchaguzi wao, tutegemee mnyukano mkali sana dhidi ya Iran.Lazima walaumiwe jamaa wanamwaga Moto kama dragon
Jamaa wanaenda kumwagiwa moto wa jehanamuLeo ni tarehe moja, nadhani tarehe 3 au 5 USA kuna uchaguzi. Israel wakishaunda serikali na USA wakamaliza uchaguzi wao, tutegemee mnyukano mkali sana dhidi ya Iran