Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

Ni kupinga vitu kwa mkumbo.
 
Hizi mada zako ndio zinazidi kuonyesha kwamba ulikuwa na chuki binafsi na hayati, hukuwahi kuona Jema kwake, pia hutaki kuona baya kutoka kwa SSH .

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hata mm napenda nchi iweze kujitegemea yenyewe kwa kiasi fulan, syo kila kitu kiandikwe donated by...nchi hujengwa na wananchi wenyewe, naunga mkono serikali swala la tozo. Outcomes tumeziona Ni very positive.
 
Upigaji tu ngoja tuone kama kweli hivyo vituo vitakamilika sasa Tanzania hela ipo nyingi tu hata bila tozo tatizo ni ufisadi ndo mwingi na sheria mbovu hakuna wa kufuatilia, kusimamia na pia hakuna uwajibishwaji katika Mali za umma
 
Ulichokisema kina reflect reality kwa 100%, kuna watu wana-entertain mambo ya udini na uzanzibari sana-kuna watu wanamsifia samia kwa sababu ni mzanzibari mwenzao na pia ni muislam mwenzao na hawataki mtu wa aina yeyote whether ni member wa CCM,opposition,au bara amkosoe kitu ambacho ni very wrong.
 
Hata mimi nimejiuliza hii U-turn imetoka wapi?
Kuumbee
 
Samia hadi sasa anaongoza kwa kudanga tu, kila mwezi lazima akadange,
Mwezi ujao naskia anaenda kutafta danga jipya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Keep in mind, she is the president of United Republic of Tanzania.
 
Huko hospital hizo huduma wanapata bure? Lakini mbona maraisi wengine hawakufanya hayo?
Tangu uhuru tumekua tunakopa na sasa deni la taifa linaelekea kutohimilika. Je tuendelee kukopa mpaka tukose sifa ya kukopesheka? Dah nchi ngumu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…