Sikumbuki vzr nani alikosa alipiga kwa papala sana ile save ndio iliwapa ubinhwa argentina nilishangaa sana kuona man of the match alichukua messi, yaani ile chanve ingemkuta cleanical finisher kama lewandowski au cristiano pale ufaransa alikua anabeba ndoo
Mbappe aanze kupambana na watoto wenzake akina JudeMaskini mbape anatoka mikono mirupu
Nilisha hesabu hapoView attachment 2798440
Mwamba hapa aliokoa sana
Argentina sio timu n kikundi cha wauni kama ilivyo simba
Messi alipokuwa umri wa mbappe alikua tayari ana ballon d'or nne alizokuwa ameshinda back to backMbappe aanze kupambana na watoto wenzake akina Jude
Kipi kinakufanywa useme Ronaldo ana mwisho mbaya ...Mtu ambae kawaachia kazi kubwa sana vijana wanaocheza mpira yan kawaachia record nying ambazo inabid wavunje ili kuingia kwenye historiaRonaldo moja kati ya wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea na moja ya wachezaji wenye mwisho mbaya zaidi kwenye carrier zao
A night to rememberView attachment 2798440
Mwamba hapa aliokoa sana
Ronaldo moja kati ya wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea na moja ya wachezaji wenye mwisho mbaya zaidi kwenye carrier zao
Kaenda kwa waarabu waarabu wamempa Zero Vote sio kawaida,Ronaldo moja kati ya wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea na moja ya wachezaji wenye mwisho mbaya zaidi kwenye carrier zao
Career✅Ronaldo moja kati ya wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea na moja ya wachezaji wenye mwisho mbaya zaidi kwenye carrier zao
Soma uelewe kabla ya kureply, nimesema Ronaldo ni bora sana ila mwisho mbaya ni pamoja na hiyo rank aliyopata na 0 vote kitu ambacho haijawahi kutokea, yaani kwa hiyo rank amepitwa hata na konkoniKipi kinakufanywa useme Ronaldo ana mwisho mbaya ...Mtu ambae kawaachia kazi kubwa sana vijana wanaocheza mpira yan kawaachia record nying ambazo inabid wavunje ili kuingia kwenye historia
NOTE
ukiwa shabiki wa mpira hauwez kuongea upuuzi kuhusu awa watu wawili sababu wamewaachia vijana kazi kubwa ya kuvunja record zao
Emu elezea KIDOGOHuijui historia ya Diego Maradona wewe …
Hii ni moja ya game niliangalia kwa presha sana .... Sikuwahi kutamani kumuona Andunje Ana nyanyua World CupView attachment 2798440
Mwamba hapa aliokoa sana