Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Emiliano Martinez
IMG_8590.jpeg
 
Pole sana kwa kuwa na roho mbaya kiasi hiko mkuu. Muda mwingine ni kuwaombea heri hata wale tusiowapenda.
Asante mkuu...imani yangu inaniambia Adui muombee njaa, Nakubal Mess ni moja ya wachezaji bora kuwahi kutokea duniani ila nilikuwa sitaman anyanyue world Cup na ninazan ile ilikuwa ni moment mbaya kuwahi kuiona kwenye mpira toka nianze kuangalia mpira
 
Back
Top Bottom