XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Aendelee kupiga hela wakati wake umekwishaSaudia wametoa wawakilishi ndo hao wamemkataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aendelee kupiga hela wakati wake umekwishaSaudia wametoa wawakilishi ndo hao wamemkataa
Kwenye shughuli au kajichimbia nyumbani kwake?Wapi?
Yule hata kipindi yupo madrid akijua hatoboi haendi kabisaKwenye shughuli au kajichimbia nyumbani kwake?
KabisaA night to remember
Ni kweli, Kwasababu Penaldo hayupoTuzo za mwaka huu hazina msisimko.
Hii ni moja ya game niliangalia kwa presha sana .... Sikuwahi kutamani kumuona Andunje Ana nyanyua World Cup
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Si wamtangaze bana [emoji2955] sie wengine tunakaa mbali tunawah kuondoka [emoji23][emoji23][emoji23]
Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Wanawake: Aitana Bonmati wa Spain
Hii ilikuwa sio powa aiseeView attachment 2798439
Akalale sasa muda wa watoto umekwishaHaaland akiwa na tuzo yake ya Mfungaji Bora wa MwakaView attachment 2798456
HUU muda unamaliza hapa katupe ep ya 70 kule!Saudia wametoa wawakilishi ndo hao wamemkataa
Asante mkuu...imani yangu inaniambia Adui muombee njaa, Nakubal Mess ni moja ya wachezaji bora kuwahi kutokea duniani ila nilikuwa sitaman anyanyue world Cup na ninazan ile ilikuwa ni moment mbaya kuwahi kuiona kwenye mpira toka nianze kuangalia mpiraPole sana kwa kuwa na roho mbaya kiasi hiko mkuu. Muda mwingine ni kuwaombea heri hata wale tusiowapenda.
DahAkalale sasa muda wa watoto umekwisha
Pole sana kwa kuwa na roho mbaya kiasi hiko mkuu. Muda mwingine ni kuwaombea heri hata wale tusiowapenda.