Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 858
- 2,497
Naona umekariri kitu.
Uwe una soma na kuelewa kwanza kinachozungumzwa kabla ya kuchambua.
Mjadala ulikuwa mahsusi kuhusu Messi vs Iniesta mwaka 2010. Nami nikajibu, kwa wakati ule Messi hakustahili tuzo mbele ya Iniesta. Sikusema mchezaji yupi (katika wachezaji wote waliowika) nani angestahili tuzo.
Utaweka vipi Messi vs iniesta wakati huo huo iniesta hakuwa the best mwaka huo ambao ni 2010.
Umesoma paragraph ya mwisho nimekuambia “ unaweza ukawa na msimu bora as individual player lakini msimu wako huo bora ukawa si bora kulinganisha na msimu wa kawaida wa messi”.
Tupe sababu kwanini unaona mwaka ule messi hakustahili tuzo mbele ya iniesta , vigezo vinavyokufanya useme iniesta alistahili tuzo tuonyeshe ni vipi hivyo?.