Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Naona umekariri kitu.
Uwe una soma na kuelewa kwanza kinachozungumzwa kabla ya kuchambua.
Mjadala ulikuwa mahsusi kuhusu Messi vs Iniesta mwaka 2010. Nami nikajibu, kwa wakati ule Messi hakustahili tuzo mbele ya Iniesta. Sikusema mchezaji yupi (katika wachezaji wote waliowika) nani angestahili tuzo.

Utaweka vipi Messi vs iniesta wakati huo huo iniesta hakuwa the best mwaka huo ambao ni 2010.

Umesoma paragraph ya mwisho nimekuambia “ unaweza ukawa na msimu bora as individual player lakini msimu wako huo bora ukawa si bora kulinganisha na msimu wa kawaida wa messi”.

Tupe sababu kwanini unaona mwaka ule messi hakustahili tuzo mbele ya iniesta , vigezo vinavyokufanya useme iniesta alistahili tuzo tuonyeshe ni vipi hivyo?.
 
Uzuri kuna uhuru wa kujieleza so nyie jielezeni ila haitobadilisha kitu na ni ruksa kutoa msimamo wako binafsi.
 
20231031_173047.jpg
 
Babu Ronaldo amelike na kukomenti post inayomdiss Messi kushinda Ballon d'or ya 8 😂. Huyu Babu ana maumivu makali sana
IMG_20231031_174249.jpg
 
Kabla sijalala ngoja niingie twitter huko kuna watu wana makasiriko sana[emoji23]
Braza kuna wakati vitu vinahitaji ushahidi wa wazi. Kuvunja sheria zote iki fulani ashinde sio vizuri. Alikua mchezaji mzuri ndio, lakini kuna wakati amependelewa. Credibility huwa inasimama milele.
 
Kapendelewa kivipi? Embu leta facts hapa
 
Kubadili upigwaji wa kura kutoka kuwa season mpaka kalenda year. Kutumia mafanikio ya timu badala ya mafanikio ya mchezaji mmoja mmoja, pia baadhi ya nchi kunyimwa kupiga kura kwa kutoa idhini kwa nchi zilizo juu ya nafasi 100. Kama upo 101 na kuendelea kwenye msimamo huruhusiwi kupiga kura. Pia wanahabari wanaohusika kwenye kuandaa habari za michezo wametolewa kupiga kura. Wakati mwingine hawa watu wanabadili vitu wakianticipate tutambeba fulani. Wakati wanachange sheria 2021 wengi tunaweza tusione upendeleo ila ukitazama kwa ndani utaona systematic change of rule maana wanajua mtu wao kushine individual ni ngumu mno. Na kama kigezo ni kubeba kombe la dunia basi kipa wa ujerumani angechukua 2014 au kina iniesta waliposhinda kombe 2010. Kigezo cha kombe la dunia kwa ninj hakikutumika huko kwingine?
 
Wewe unaona nani alitakiwa kupewa mwaka huu ? Kwa maoni yako na mtazamo wako
 
Kwangu alistahili Haaland. Sio hata shabiki wake wala wa timu yake lakini ameenda na timu yake mbali. Mbappe anacheza ligi rahisi sana. Ila kwa alichokifanya kombe la dunia hata kama hakubeba ila alicheza. Aliiweka timu begani kwake. Haikua bahati yake maana ushindi ulikua ni wa penalti.sio ushindi wa kufunga magoli ni ushindi wa penalt.
 
Kwani backbone ya Man City ni nani?
Backbone ya Argentina ni nani?

Kwangu Haland hakustahili kushika hata hiyo nafasi ya pili, KDB ndio anadeserve hiyo nafasi.
 
Wote hawakustahili ndo lakini siku hizi wanatazama magoli. Unaweza kuwa beki mzuri mno ukazuia magoli matano lakini mshambuliaji akifunga sifa zote anapewa yeye. The world is unfair but what can we do?
 
Kumbuka katika msimu 22/23 mchezaji aliye create nafasi nyingi kwenye timu ya taifa na club Messi anashika nafasi ya pili na ya kwanza Bruno Fernandes.

Sasa mchezaji kama huyu ana uwezo wa kufunga, kucreate nafasi hiyo haitoshi Argentina kucheza kwake inakuwa controlled na Messi kama ilivyo KDB kwa City. Labda mtizamo wako unaona Halaand kwangu Messi ana deserves.

Angalia City sasa hivi KDB hayupo ,kidogo hata mpira wao wanao cheza sio kama KDB akiwepo,City kwa mda mrefu hawajawahi kufungwa mechi mbili mfululizo ila msimu huu kwa kukosekana kwa KDB wamepigwa mechi mbili mfululizo.

Mfano juzi hapo kama kweli ulitizama mechi ya United na City nikikuuliza Man of the match unampa nani?
 
Kwangu alistahili Haaland. Sio hata shabiki wake wala wa timu yake lakini ameenda na timu yake mbali. Mbappe anacheza ligi rahisi sana. Ila kwa alichokifanya kombe la dunia hata kama hakubeba ila alicheza. Aliiweka timu begani kwake. Haikua bahati yake maana ushindi ulikua ni wa penalti.sio ushindi wa kufunga magoli ni ushindi wa penalt.

Haaland ana goli ngapi?
Assisit ngapi?
Chances created ngapi ?na makombe mangapi. Hapo ndo utagundua Haaland bado sana yan hapo alichomzidi messi ni magoli tu vingine vyote kazidiwa . Sasa kama mjuzi wa mpira unasemaje haaland anachukua ? Argentina imevuka kwa mgongo wa messi refer mechi zote za argentina angalia magoli yote mesai unamkuta kuanzia game ya mexico hadi final.
 
Huwezi kuwa man of the match kwa kuonekana dk 10 tu ndani ya dk 90 .. Mbappe was no where to be seen in the first 80 minutes . Alikuja kuonekana kwenye magoli tu ambapo ilikuwa ndani ya dk hizo za mwisho. France hawakuwa hata na shot on target kipindi cha kwanza hata Added time ingawa haihesabiki ila bado messi alimfunika mbappe.
Lawama zote kwa Kocha wa France alim-favor Messi akamweka Mbappe bench, nielewe
 
Back
Top Bottom