Hai: Mbowe kaongea kwa hekima kidogo wakati Magufuli akizindua Barabara Kilimanjaro

Kama alimsifia hivo mbona yeye anashindwa kumsifia leo na anamandama hivyo bila sababu.
Rais wa sasa aige pia kwa JK ambaye hakuwa na ubaguzi wa vyama sana.
 
Mtafukua mnoo mwishowe mkutane na mabomu
 
You can't compare jpm with jk. Is so different jk was a diplomatic man that's why even soldiers they gaining income through UN operation eg darful, Congo, Lebanon etc. But magu cannot do this coz have no nothing to diplomatic
 
Mkuu andika kiswahili tu lugha ya wenyewe hiyo!!
 
You can't compare jpm with jk. Is so different jk was a diplomatic man that's why even soldiers they gaining income through UN operation eg darful, Congo, Lebanon etc. But magu cannot do this coz have no nothing to diplomatic
Chadema said he was a weak leader who was too soft and who travels outside the country all the time and accused him that he was undemocratic
 
Jamaa ni nunda balaa,anasema zile kauli za kusema eti hakuna mtu atakayekufa kwa njaa hakuna tena,kekundu kekundu tu kama huna chakula kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You can't compare jpm with jk. Is so different jk was a diplomatic man that's why even soldiers they gaining income through UN operation eg darful, Congo, Lebanon etc. But magu cannot do this coz have no nothing to diplomatic
Ninyi ndio walewale mliokuwa mnamnadi jk ni Rais dhaifu [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe anamkubali sana Magufuli.

Ndiyo maana haonekani kwenye kampeni za Lissu. Nafsi inamsuta kwa matusi anayovurumishwa JPM.

Chadema wanakata pumzi
 
Ndiyo kazi ya mbunge kuleta miradi kwenye sehemu yake. Wabunge hawana pesa serikali ndiyo ina pesa. Pesa ya serikali sio ya Chama chochote ni ya walipa kodi na misaada. Itakuwa kitu cha ajabu kama serikali haijengi barabara mfano kwenda KIA wakati asilimia 95% ya watalii wanapitia hapo na kodi wanalipa nyingi. Kama pesa ya kodi ingebaki Hai wangekuwa na pesa nyingi sana lakini huo sio utaratibu
 
Mbowe anamkubali sana Magufuli.

Ndiyo maana haonekani kwenye kampeni za Lissu. Nafsi inamsuta kwa matusi anayovurumishwa JPM.

Chadema wanakata pumzi
Hata wakoloni muingereza na mjerumani walijenga miundo mbinu ila tuliwakataa utawala wao usiokuwa na haki.
CCM imeishiwa na pumzi #tukaizikeni CCM 2020
 
Back
Top Bottom