Hai: Mbowe kaongea kwa hekima kidogo wakati Magufuli akizindua Barabara Kilimanjaro

Hai: Mbowe kaongea kwa hekima kidogo wakati Magufuli akizindua Barabara Kilimanjaro

Mbowe ni mchaga mjanja sana.afunguki mazima anaenda kwa step ili asiharibu moja kwa moja.ili mambo yakichacha apate mlango wa kutokea,apate hata ukuu wa mkoa.
 
Hii video ilikua kipindi cha Kikwete kivipi mnaitumia kwa Magufuli?
Ndiyo maana ka video walikoweka hao mburura, hakaonyeshi sura ya Rais.

Nami nilipokaona tu hako ka video, nikakumbuka ilikuwa enzi za Kikwete, tena siku hiyo Rais wa sasa alimsifu Kikwete na kumwambia aongeze safari za nje maana zinaleta maendeleo.
 
Hata wakoloni muingereza na mjerumani walijenga miundo mbinu ila tuliwakataa utawala wao usiokuwa na haki.
CCM imeishiwa na pumzi #tukaizikeni CCM 2020
Miundombinu ya kikoloni ni tofauti Sana na Sasa.
Reli na Barabara zilojengwa kutoka maeneo ya uzaliahaji kuelekea bandari. Hazikulenga kumsaidia mwananchi bali kuhudumia uchumi wa kikoloni.

Huduma zilikuwa za kibaguzi kuanzia elimu, makazi mpaka afya. Tumlikataa mkoloni kwa sababu:
Alidharau utamaduni wetu
Ulikuwa utawala wa wachache
Alinyonya rasilimali zetu kwaajili ya kuendeleza kwao
Hatukuwa na uhuru wa kujiamulia mambo yetu
 
Video ya enzi za Kikwete hii. Lumumba mumebanwa Sana na Lisu.
 
Kujenga hoja kuhusu miundombinu ambayo mnaipigia kelele
Kuna mpinzani kapinga miundombinu? Wanachosema ni kuwa nguvu kubwa imewekezwa huko na mambo mengine yamesahaulika mfano Kilimo,Ajira kwa vijana,kufufua viwanda n.k
 
"sincerely nakupongeza mbowe na MUNGU akubariki....."

Miaka kadhaa ikapita bilicanas ikafilisiwa

Mbowe akanyag'anywa mashamba

Tanzania daima ikafungiwa .

Akasweka rumande Mara kadhaa bila dhamana

Akavunjwa mguu

Namalizia kwa kusema maendelao hayana vyama[emoji2][emoji123]
 
Back
Top Bottom