Hai: Waliorusha mawe kwenye mkutano wa Lissu mkoani Kilimanjaro wakamatwa

Mbona yule mwenyekiti wa ccm vijana, aliyekua anaongoza timu ya warusha mawe nimemuona kwa Kiriwe asubui amevaa kisuti kimembana?!
 
HIVI YULE MKUU WA WILAYA ALIYE WATUMA WATOTO WA WATU ,HAJAENDA KUWATOA????? KAMA KUNA WATU WATAENDA ICC VURUGU ZIKITOKEA NCHINI NI HUYO DC
 
wale chadema waliokuwa na marungu mashoka na mapanga nao wasakwe wakamatwe
 
Sheria ni msumeno tunategemea kesi zote kuendeshwa kwa usawa bila kujali kazi ya mtu.

Lakini cha kushangaza huyo DC bado yupo kazini. Hii ni ishara tosha kuwa hii ni geresha tu.

HUYU DC KWA UBAYA NA UNYAMA ANAOWAFANYIA WATU WA HAI HUWA ANAISHI KWA KUJIFICHA NA KUNDI LA WALINZI AMBAO KWA STAHIKI ZA DC HANA ULINZI WA NAMNA HIYO ..HIVYO NI KUNDI LAKE LA WAHUNI NDIO ANAOZUNGUKA NAO WANAMLINDA ....NA MARA NYINGI HULALA ARUSHA ...NADRA SANA KULALA HAI...
PALE TRIPLE A ALIPATA KUMPIGA RISASI MLINZI NA WAKAONDOKA NA MWILI WAKE HADI LEO HAJAONEKANA MAHALI ......MLINZI ALIKUWA ANAINGILIA KUMSAIDIA MALAYA ALIYEKUWA ANAMDAI DC PESA BAADA YA KUMPA HUDUMA YA HARAKA HARAKA KWENYE GARI ...
 
Kama ni kweli Sabaya ndo anaratibu huo ujinga basi na yeye atakuwa hayupo sawa. Mh, Rais kila siku anatuambiwa wa Tz kuwa anataka kampeni za kistarabu sasa ustarabu wa wapi tena analeta sabaya wa kupopoa wenzake mawe.
 
Tusije sikia kwamba aliye nyuma yao ni kada wa chadema..... Maana ishazoeleka izi story za kutengenezwa ili mkosaji asafishwe kwazo....
 
Kale ka DC kanatakiwa kutolewa mara moja ka hovyo kabisa.
Kale kajamaa keusi kanaboa sana aisee, nina imani kama alivyosema RPC, kulikuwa na mtu nyuma yao, basi katakuwa ni haka kajamaa sema tu anakwepesha kwepesha.
 
#Rubbish!
#Bullshit
 


Mkuu wa wilaya na OCD wanatafuta kiki wapande vyeo
 
Happy Ni kufunika kombe.. ili waonekane wamefanya kazi.. Sabaya anatakiwa akamatwe kwanza
 
Inasikitisha sana, hivi alishababu bado wapo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…