Hai: Waliorusha mawe kwenye mkutano wa Lissu mkoani Kilimanjaro wakamatwa

nyie hata mfanyiwe vipi hamuishi kulalamika sasa ulitaka wasikamatwe? bado ungesema serikali haijali yaaninyie ni kama watoto wa kambo yaani ni walalamishi balaa hawaishi kuona wanaonewa wao tu da nyie aliyewaloga hayupo duniani angewasaidia

Tutawaambia wafadhili ukweli.
 
Yaani kutaja majina ni kazi ya kuisaidia polisi wakati wao wanasema watuhumiwa wamekatwa?! Halafu huyo DC bado anaendelea na kazi.

Hebu acha kujaza watu ujinga hapa.
Kwa nini unahangaikaa saaanaaa? Kama niiii mumefanya maigizo tena itabumaaa.
Waaacheni polisi wafanye kazi zao.
 
Yawezekana "kukamatwa" kwa waliofanya fujo kwenye msafara wa Lissu ni propaganda ya kujisafisha tu lakini sio kwa nia ya halisi ya kulinda usalama. Kwa sasa dunia nzima inatuangalia kwahiyo sitoshangazwa kama walikuwa wanatuhadaa tu na kutufanya sisi na jumuiya za kimataifa ni mazuzu. Kesho na keshokutwa wakienda kuomba misaada watasema hao watu walichukuliwa hatua kumbe ni maigizo tu.

Mpaka hao waliofanya fujo wakifungwa ndio nitaamini kweli haki inatendeka.
Kwanza RPC anadai Kiongozi wa hilo genge la wahuni amekimbilia Longido wakati Sote tunajua Kiongozi wa hilo genge ni Mkuu wa Wilaya Ole Sabaya
 
Yawezekana "kukamatwa" kwa waliofanya fujo kwenye msafara wa Lissu ni propaganda ya kujisafisha tu lakini sio kwa nia ya halisi ya kulinda usalama. Kwa sasa dunia nzima inatuangalia kwahiyo sitoshangazwa kama walikuwa wanatuhadaa tu na kutufanya sisi na jumuiya za kimataifa ni mazuzu. Kesho na keshokutwa wakienda kuomba misaada watasema hao watu walichukuliwa hatua kumbe ni maigizo tu.

Mpaka hao waliofanya fujo wakifungwa ndio nitaamini kweli haki inatendeka.
Hakuna aliekamatwa wahusika wote wapo,na police ilikua inawalinda mana mpango mzima yule dc shoga ndio aliupanga
 
Yawezekana "kukamatwa" kwa waliofanya fujo kwenye msafara wa Lissu ni propaganda ya kujisafisha tu lakini sio kwa nia ya halisi ya kulinda usalama. Kwa sasa dunia nzima inatuangalia kwahiyo sitoshangazwa kama walikuwa wanatuhadaa tu na kutufanya sisi na jumuiya za kimataifa ni mazuzu. Kesho na keshokutwa wakienda kuomba misaada watasema hao watu walichukuliwa hatua kumbe ni maigizo tu.

Mpaka hao waliofanya fujo wakifungwa ndio nitaamini kweli haki inatendeka.
chezea mtu anaitwa "Amsterdam" wewe!
 
Yawezekana wewe mwenyewe, kwa kutumia JF, mtandao wa kijamii, unaotumiwa dunia nzima, ni propaganda ya kuifitinisha Setikali tu lakini sio kwa nia ya halisi ya kulinda heshima ya nchi. Kwa sasa dunia nzima inatuangalia kwa hiyo sishangazwi na hoja yako hiyo kuwa imejaa chuki dhidi ya utawala.
 
Lakini nimeweka sababu zangu kwanini naamini huko "kukamatwa" ni kuwajaza watu ujinga tu.
 
Kakamate na we we unaowafahamu. Sijui nyie mnashidaaa ganiiii. Polisi wakifanya kazi hamuwaaminii wakikaaa kimyaaa mnalalamikaaa, sasa mnataka iwejeee? Basi jitokeze uisaidie polisi kukamata wewe unaowajua.
Tukio lile siyo sawa na mengine ubayoyafahamu Ndugu, wale vijana walikuwa under escort ya wakamataji.
 
Kwahiyo ulitamani wasikamatwe ili maigizo yasiwepo?
Basi wawaachie nadhani maoni yako yasikilizwe
 
Yawezekana "kukamatwa" kwa waliofanya fujo kwenye msafara wa Lissu ni propaganda ya kujisafisha tu lakini sio kwa nia ya halisi ya kulinda usalama. Kwa sasa dunia nzima inatuangalia kwahiyo sitoshangazwa kama walikuwa wanatuhadaa tu na kutufanya sisi na jumuiya za kimataifa ni mazuzu. Kesho na keshokutwa wakienda kuomba misaada watasema hao watu walichukuliwa hatua kumbe ni maigizo tu.

Mpaka hao waliofanya fujo wakifungwa ndio nitaamini kweli haki inatendeka.
Watuhumiwa halali wako mtaani.. Ambao ni OCD na DC wa wilaya ya HAI.
Au nao wako mahabusu?
 
Wawekwe hadharani kama watuhumiwa wengine kisha washtakiwe na kuhukumiwa haraka ikiwezekana chini ya hati ya dharura na kupewa vufungo vigumu ili iwe MFANO NA FUNDISHO kwa wengine wenye tabia kama hizo kipindi hiki cha uchaguzi mkuu

Kwa kufanya hivyo tutaiona NIA YA DHATI ya mamlaka katika kupambana na wahuni
Bila Ole Sabaya kuwemo ndani ya list hiyo utakuwa ni utani tuu na hakuna zaidi
 
Yawezekana "kukamatwa" kwa waliofanya fujo kwenye msafara wa Lissu ni propaganda ya kujisafisha tu lakini sio kwa nia ya halisi ya kulinda usalama. Kwa sasa dunia nzima inatuangalia kwahiyo sitoshangazwa kama walikuwa wanatuhadaa tu na kutufanya sisi na jumuiya za kimataifa ni mazuzu. Kesho na keshokutwa wakienda kuomba misaada watasema hao watu walichukuliwa hatua kumbe ni maigizo tu.

Mpaka hao waliofanya fujo wakifungwa ndio nitaamini kweli haki inatendeka.
Niliposikia hilo nilikaa chonjo kutazama TV lakini sikuwaona wanaodaiwa kukamatwa, zaidi ya kumuona yule afande akiongea kwenye mic! Mbona majambazi huwa wanaonyesha hadi kwenye luninga vipi hao wahalifu hatukuwaona? Hapa wengi tumepata mashaka!
 
Umeambiwa walikimblia Arusha ambako Godbless Lema ni Mbunge na kwao ni Hai Gari ya Lissu ilikotupiwa mawe

Ikumbukwe Arusha kwa Lema ndiko ofisi ya Chadema ilichomwa Moto.

Connect dots ni Nani alikuwa nyuma ya hao wachoma ofisi na kutupia mawe magari ya Lisu ili wapate kura za huruma na huruma ya kimataifa
Wewe ni kilaza wa kutupwa,mbupu kabisa
 
Bado haijulikani mnataka nini?

Wasiwapeleke mahakamani kwanza.

Mpaka mume wenu atakapotii mahakama na kushtakiwa ashindwe au ASHINDE.

Ndipo hivi vidagaa vishtakiwe.

Kumbe mmechangia mume wenu mmoja?
 
Yawezekana "kukamatwa" kwa waliofanya fujo kwenye msafara wa Lissu ni propaganda ya kujisafisha tu lakini sio kwa nia ya halisi ya kulinda usalama. Kwa sasa dunia nzima inatuangalia kwahiyo sitoshangazwa kama walikuwa wanatuhadaa tu na kutufanya sisi na jumuiya za kimataifa ni mazuzu. Kesho na keshokutwa wakienda kuomba misaada watasema hao watu walichukuliwa hatua kumbe ni maigizo tu.

Mpaka hao waliofanya fujo wakifungwa ndio nitaamini kweli haki inatendeka.
Kesi itaishia hewani
 
Wawekwe hadharani kama watuhumiwa wengine kisha washtakiwe na kuhukumiwa haraka ikiwezekana chini ya hati ya dharura na kupewa vufungo vigumu ili iwe MFANO NA FUNDISHO kwa wengine wenye tabia kama hizo kipindi hiki cha uchaguzi mkuu

Kwa kufanya hivyo tutaiona NIA YA DHATI ya mamlaka katika kupambana na wahuni
Kamanda nchi haiendeshwi kimihemuko
 
Ole sabaya amekamatwa?
OCD amekamatwa?
Uchuro mtupu huu, kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kama kweli wamekamatwa wapelekwe mahakaman...au ndo wanarudishwa chama kile kama wale watuhumiwa wa rushwa
 
Back
Top Bottom