YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
RPC katamka wazi waliokamatwa wameshikwa Arusha ndiko walikotokea na wengine wametokea. Moshi mjini Ni makundi yalisafiri na Lisu hayo jiongezeUgoro mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RPC katamka wazi waliokamatwa wameshikwa Arusha ndiko walikotokea na wengine wametokea. Moshi mjini Ni makundi yalisafiri na Lisu hayo jiongezeUgoro mtupu
Huu ni upumbavu wa fikra.Chadema wanaigiza kuchoma ofisi motona kutupia magari Yaao wenyewe mawe kutafuta kura za huruma
Amsterdam kawakaba yaaaniUchaguzi wa mwaka huu ni noma saana!!! Tume kuweni makini
YEHODAYA unachefua sanaUmeambiwa walikimblia Arusha ambako Godbless Lema ni Mbunge na Kwao Ni Hai Gari ya Lisu ilikotupiwa mawe
Ikumbukwe Arusha kwa Lema ndiko ofisi ya Chadema ilichomwa Moto.
Connect dots Ni Nani alikuwa nyuma ya hao wachoma ofisi na kutupia mawe magari ya Lisu ili wapate kura za huruma na huruma ya kimataifa
Acha wivu mkuuNdio kitu pekee anachoamini kitamfurahisha Boss......jamaa ni mmoja kati ya viongozi nisiolewa kabisa wanchofanya kwenye ofisi ya Umma.