Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

Samia hizo pesa anatoa wapi?
Sijui, na inasikitisha sana.

CHADEMA walimwaga damu na machozi wakimhoji Pombe Magufuli: pesa unazogawa barabarani ni zako ??????

Leo Freeman Mbowe, of all the people, anashangilia kuchangiwa hela ambazo watu wake wamekufa, wamekatwa mapanga wakiuliza hela kama hizi zinatoka wapi, tukoje sisi Waafrika ????????
 
Huyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo ww fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.
P
Bro ww ndio unapaswa kuwa na shukurani, maana kwa umri wako hisani tu ndio zitakufanya ubaki hapa mjini.
 
Acha watu wale maisha kwa kuwa backed up na MISUKULE
 
Sijui na inasikitisha sana.

CHADEMA walimwaga damu na machozi wakimhoji Pombe Magufuli. pesa unazogawa barabarani ni zako ??????

Leo Freeman Mbowe, of all the people, anashangilia kuchangiwa hela ambazo watu wake wamekufa, wamekatwa mapanga wakiuliza hela kama hizi zinatoka wapi, tukoje sisi Waafrika ????????
Wala simuungi mkono Mbowe kwa hilo pesa hizo tunazoambiwa rais anagawa kila siku anatoa wapi?
 
Wachaga aka wamashami wamefurahi sababu lengo limetimia nyumba ya kumwabudu Mungu inakamilika tena kwa haraka .
Aisee wachaga wanaheshimu sana masuala ya kikanisa na hii ilianza tangu zamani sana .

Kwenye dini siasa pembeni na Kwenye siasa dini pembeni na hii ndiyo anasababisha tuishi kwa Amani tofauti na sehemu nyingine afrika .
 
Hii habari itakuwa imekuumiza mno mno. Nyie ni wale chawa amabo mnataka kuwe na ugomvi kati ya Chadema na serikali ili mpate kula yenu kwa kupiga debe.
Niumie na nini nami najua siasa sio uadui wewe ndie unaugua vidonda vya tumbo kuona kina mdee wameshiriki!
 
Sijui na inasikitisha sana.

CHADEMA walimwaga damu na machozi wakimhoji Pombe Magufuli. pesa unazogawa barabarani ni zako ??????

Leo Freeman Mbowe, of all the people, anashangilia kuchangiwa hela ambazo watu wake wamekufa, wamekatwa mapanga wakiuliza hela kama hizi zinatoka wapi, tukoje sisi Waafrika ????????
Bado hujasema, mpaka useme
 
Niumie na nini nami najua siasa sio uadui wewe ndie unaugua vidonda vya tumbo kuona kina mdee wameshiriki!
I wish you know me! Mimi ni mtu ninayejitambua na msimamo wangu siku zote umekuwa ni: ''bila raia kujitambua, hakuna kitakachobadilika''. Tena siku hizi kila nikiona mambo ya kijinga kama haya yanavyofanyika ndiyo nasikia raha kwa sababu najua bila wananchi kupigika hawataamka. BTW kwani Mdee walikuwa maadui na Mbowe? Mimi nachojua ni kuwa walihitilafiana kimsimamo baada ya wao kurubuniwa. Narudi pale pale: watu wanaotegemea kuwa chawa ili waishi hawataki haya yatokee.
 
CDM ina jasho na damu ya Bulaya na Mdee, hatuwezi kuwaacha hivi hivi, wakati Mdee anaijenga CDM, Lissu alikuwa bado anaiba hela za wafadhili kule LEAT (Lawyers Environmental Action Team) pamoja na akina Nshala, ameifilisi ndio kaja CDM kaikuta akina Mdee wameipendezesha inakubalika
 
Waskuma mnachuki na wachaga sana mmeirithi Kwa mwendazake kwendeni huko pendeni ng'ombe washamba nyie
Laiti ingefanywa sensa ya wanaume wa kabila gani wanaongoza kwa kuoa wanawake Wachagga, ungeshangaa!. Tuwachukie Wachagga for what?. Kati ya makabila 120 ya Tanzania, ni kweli kuna makabila yana chuki na makabila mengine hivyo wana ukabila m-baya, but very fortunately Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Japo Usukumani sio miongoni mwa mikoa ya pembezoni, wahamiaji haramu wanaojipenyeza mikoa ya pembezoni, na kujifanya ni Watanzania, kule wanabaguliwa na wenyeji, ila Usukumani ndio the only safe heaven, mtu wa kabila lolote anajifanya Msukuma, sisi Wasukuma og tunamjua fulani sio Msukuma, ila bado tunamkubali na tunamuacha kugombea nafasi yoyote, udiwani, ubunge, hadi... , nenda Uchagani ukagombee chochote kama wewe sio Mchagga uone kitakachotokea
P
 
Kwa siasa za chadema imekula kwao coz mama kashachukua point 3 muhimu, akikaa jukwaan utasikia chadema nimewafanyia moja mbili tatu,, heading za magazet "chadema wawa chawa wa mama" afu pale front page bonge la picha mbowe kavaa kijani,,, oyaa chademaa kwa siasa zenu za mabifu kwaherini hamna jipya bye bye
 
Back
Top Bottom