Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mtenda hakusema alichotenda, na mtendewa hakusema alichotendewa, who are you kusema?!, haya ni mambo ya kitu kinachoitwa morality Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?Hayo mambo fulani yaeleze wewe kama unaona Mbowe kaficha.
Hii habari itakuwa imekuumiza mno mno. Nyie ni wale chawa amabo mnataka kuwe na ugomvi kati ya Chadema na serikali ili mpate kula yenu kwa kupiga debe.Nasubiri waisrael wa ccm na wapelstina wa chadema uwanja ni wenu sasa!
Zama za visasi na kuuwana za mwenda zake zimekwisha.Siasa ni maisha ya kila siku.
Sijui, na inasikitisha sana.Samia hizo pesa anatoa wapi?
Bro ww ndio unapaswa kuwa na shukurani, maana kwa umri wako hisani tu ndio zitakufanya ubaki hapa mjini.Huyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo ww fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.
P
Siasa ni kuiba kura.Shida yenu wapinzani mkiona mtu anaenda against na nyinyi mnamuona hana akili, hana heshima, hafai katika jamii and everything bad you throw to them. Hiyo siyo Siasa.
Wala simuungi mkono Mbowe kwa hilo pesa hizo tunazoambiwa rais anagawa kila siku anatoa wapi?Sijui na inasikitisha sana.
CHADEMA walimwaga damu na machozi wakimhoji Pombe Magufuli. pesa unazogawa barabarani ni zako ??????
Leo Freeman Mbowe, of all the people, anashangilia kuchangiwa hela ambazo watu wake wamekufa, wamekatwa mapanga wakiuliza hela kama hizi zinatoka wapi, tukoje sisi Waafrika ????????
Niumie na nini nami najua siasa sio uadui wewe ndie unaugua vidonda vya tumbo kuona kina mdee wameshiriki!Hii habari itakuwa imekuumiza mno mno. Nyie ni wale chawa amabo mnataka kuwe na ugomvi kati ya Chadema na serikali ili mpate kula yenu kwa kupiga debe.
Bado hujasema, mpaka usemeSijui na inasikitisha sana.
CHADEMA walimwaga damu na machozi wakimhoji Pombe Magufuli. pesa unazogawa barabarani ni zako ??????
Leo Freeman Mbowe, of all the people, anashangilia kuchangiwa hela ambazo watu wake wamekufa, wamekatwa mapanga wakiuliza hela kama hizi zinatoka wapi, tukoje sisi Waafrika ????????
I wish you know me! Mimi ni mtu ninayejitambua na msimamo wangu siku zote umekuwa ni: ''bila raia kujitambua, hakuna kitakachobadilika''. Tena siku hizi kila nikiona mambo ya kijinga kama haya yanavyofanyika ndiyo nasikia raha kwa sababu najua bila wananchi kupigika hawataamka. BTW kwani Mdee walikuwa maadui na Mbowe? Mimi nachojua ni kuwa walihitilafiana kimsimamo baada ya wao kurubuniwa. Narudi pale pale: watu wanaotegemea kuwa chawa ili waishi hawataki haya yatokee.Niumie na nini nami najua siasa sio uadui wewe ndie unaugua vidonda vya tumbo kuona kina mdee wameshiriki!
CDM ina jasho na damu ya Bulaya na Mdee, hatuwezi kuwaacha hivi hivi, wakati Mdee anaijenga CDM, Lissu alikuwa bado anaiba hela za wafadhili kule LEAT (Lawyers Environmental Action Team) pamoja na akina Nshala, ameifilisi ndio kaja CDM kaikuta akina Mdee wameipendezesha inakubalikaI wish you know me! Mimi ni mtu ninayejitambua na msimamo wangu siku zote umekuwa ni: ''bila raia kujitambua, hakuna kitakachobadilika''. Tena siku hizi kila nikiona mambo ya kijinga kama haya yanavyofanyika ndiyo nasikia raha kwa sababu najua bila wananchi kupigika hawataamka. BTW kwani Mdee walikuwa maadui na Mbowe? Mimi nachojua ni kuwa walihitilafiana kimsimamo baada ya wao kurubuniwa. Narudi pale pale: watu wanaotegemea kuwa chawa ili waishi hawataki haya yatokee.
Waskuma mnachuki na wachaga sana mmeirithi Kwa mwendazake kwendeni huko pendeni ng'ombe washamba nyieKama mtenda hakusema alichotenda, na mtendewa hakusema alichotendewa, who are you kusema?!, haya ni mambo ya kitu kinachoitwa morality Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
P
Laiti ingefanywa sensa ya wanaume wa kabila gani wanaongoza kwa kuoa wanawake Wachagga, ungeshangaa!. Tuwachukie Wachagga for what?. Kati ya makabila 120 ya Tanzania, ni kweli kuna makabila yana chuki na makabila mengine hivyo wana ukabila m-baya, but very fortunately Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!Waskuma mnachuki na wachaga sana mmeirithi Kwa mwendazake kwendeni huko pendeni ng'ombe washamba nyie