Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #101
Amina MtumishiInashangaza ingawa ndio maisha halisia ya sasa hivi. Wapo wanaotaka serious relationships na wengi miongoni mwao baada ya kuzurura sana.
Wapo wachache sana ambao bado wana hofu ya Mungu na wanaangalia mahisiano yenye tija na yenye malengo ya kujenga familia.
Ulitaka dodo ganhiyo heading asee yaaan nimekuja speed kumbe ni story, nilijua naokota dodo jioni hii Money Penny
Dokta kasema nisimame Kwa muda mrefu maana mgongo unauma sanaMaisha yanaenda kasi duh? siku hizi money penny unatumia public transport???????
Nina 67Mtoa mada vp UMri umeanza kukaribia 40?
Ndio iliokuvuta hapa sheikh, tulia au pitaNilivyosoma HEADING nikataka kutangaza Nia, baada ya kusoma kilichopo ndani kumbe ni Stori za vijiweni.
Haubadilishagi Tu hii slogan yako ya kuzimu??MWANAMKE MZURI/MREMBO AKIKOSA AKILI KITAKACHOUMIA NI SEHEMU ZA SIRI...
Unavyoona wewe bossKuna mambo yanafurahisha sana...
Wewe unaonaje?
Nina 67
Kwani hujui?!
Wenzio wanajua mbona
Mungu hajawahi umba mtu na kibamiaSiku hizi hata ukiwa na kibamia hutadharauliwa kama una held. We toa hela uingie pangoni utakachokutana humo utajua mwenyewe hakuna wa kukushangaa kwa nini hujai humo ndani. Fedha ndio nguvu za kiume
AiseeNtasakafia huu uzi badae
Asante Mchungaji Kwa mahubiriWadada wasemao hayo maneno wengi wao kuanzia 19-30 na mifano ipo ila ikifikia age ya 31 na kundelea ndipo wanapoanza kuona dunia chungu pind Makopo ya mikorogo yamedunda na kuwakataa ngozi hazina mvuto tena.ndipo wanapogeuka na kuwa watoa nasaa na kulalama sana nini wamemkosea MUNGU wanageuka kuwa waumini wazuri wa mafuta ya upako, mizizi shamba,ubani mashtaka kwa mashekh.wanataka mume...kipindi kile age 19-30 wanafaa kuolewa watakumbuka waliyasema haya{
Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela Mimi napita nae}
hiyo miaka ikikata sasaaa,ndugu nakuambia tena hugeuka kuwa sumu na kikwazo kwenye ndoa za watu..huo mda ukifika wanakosa nuru ya sura mzuri matendo na furaha inapotea tena kwenye mioyo yao kifupi inakuwa laana inayotembea kwenye jamii..wanazidi kuwa vituko na story mbaya kwa mtaa..na kugeuzwa mifano mibaya kwa wazazi wema wanapowasihi watoto wao wa kike..niwajuze mipango ya MUNGU kwa waja wake kamwe haijawahi kuharibika tunaharibikiwa sisi viumbe kwa kujifanya wajuaji na wenye uelewa wa mambo..mda ni mali kumbuka ukifanyacho leo kwa akili yako basi majibu unatayapata kesho mda bado upo
Na wewe ndio unawajua sio??Malaya ni wengi sana huwezi amini. Hawa wanaouza un-officially ni wengi mnooo.
Humu wapo pia wametulia tulii
Hivi unatuambia au unatusimulia story yako mbovu sijawahi onaNtasakafia huu uzi badae
Hao niliowatag waliomba niwatag Kila napotoa UziHao uliowatag ushapita nao ?
Una uhakika umem quote mtu sahihi?Hivi unatuambia au unatusimulia story yako mbovu sijawahi ona
Huu ujumbe NI wangu au?Nimekuja mbio nikafkiri ni maamuzi yako kumbe maneno ya majirani 🙌
Tuachane na hayo na mimi niko na kahela namna gani vipi hiviiiiiii ila ni andunje,hatuwezi kufanya namnaaa?upite na mimi😉
Ngono ganSometimes na nyinyi punguzeni basi kila muda issues za ngono tu badilikeni.
Si mambo binafsi tu hayo kwasababu uhuru ni wako.
Lipi?Lipia tangazo