Haijatokea duniani, Watanzania wafaulu kufuta upinzani

Malipo ya dhuluma ni laana na kifo

Laana ya mungu iwapate wote walioshinda kwa dhulma na wizi

Baraka za mungu ziambatane na walioshinda kihalali na walio tayari kuwatumikia wananchi
Mungu si ndio ameruhusu haya Sasa yeye Tena alaani watu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtaandika sana Mtaumia sana
Mlitegemea Magufuli kiboko yenu atashindwa Poleni sana
Watanzania Tumemuelewa Magufuli
Hatuna muda na Vimaneno vyenu Uchwara
Bongolala katika ubora wako. Hizi akili zenu mgando zinatutia aibu sana sisi watu wa Afrika Mashariki. Hongereni sana kwa kushinda. Bure kabisa.
 
Hii ni njia ya kutia wananchi hofu. Ngoja Sirro na boss wake wawe na kesi ya kujibu ICC kwa mauwaji katika uchaguzi 2020 ndiyo wataelewa.
Hivi bado kuna watu wanaogopaga icc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Malipo ya dhuluma ni laana na kifo

Laana ya mungu iwapate wote walioshinda kwa dhulma na wizi

Baraka za mungu ziambatane na walioshinda kihalali na walio tayari kuwatumikia wananchi
Mlihisi multiple accounts za JF na tweeter ndo zingepiga kura? the majority tulikuwa tukiwachora tu mkijitekenya na kucheka wenyewe, tulieni dawa iwaingie.
 
Mlihisi multiple accounts za JF na tweeter ndo zingepiga kura? the majority tulikuwa tukiwachora tu mkijitekenya na kucheka wenyewe, tulieni dawa iwaingie.
sawa tunasubiri sasa tanzania iwe kama ulaya, wananchi wawe MATAJIRI KUPINDUKIA, fedha bwerere, mishahara ipande maradufu, flyovers juu na chini
 
Mungu si ndio ameruhusu haya Sasa yeye Tena alaani watu [emoji23][emoji23][emoji23]
hata unapofanya ngono na malaya utasema mungu amekuruhusu? unapofanya unafanya kwa utashi wako binafsi yeye atakudaka kwenye matatizo utakayojipatia kwa kufanya ngono na malaya, ndivyo ilivyo kwa uchaguzi huu, walioiba kura na kufanya dhulma wamefanya kwa utashi wao kua hakuna Mungu, lakini malipo ya dhulma ni KIFO
 
Ntajie mbunge wa mtwara vijijini na chama chake... Acha ujinga
Ndugu yangu, kumbuka msemo wetu wa Kiswahili kwamba "Mtu mzima akivuliwa nguo, huchutama"!! Bora unge-twist hoja yake lakini kutaja habari ya kambunge kamoja huko Mtwara.

Bush kwetu diwani wamechagua upinzani. Sina cha kufurahia wakati Tanzania karibu yote dhuluma imeshinda haki, na wala sihesabu ushindi tuliopata kule kwetu ambao am sure, hata Mbunge atatangazwa tu na NEC lakini sio kwa sanduku la kura manake wale wanakijiji walivyopinda, wanajijua wenyewe!
 
Mungu aliyetulinda na Corona ndiye huyu huyu atakayewalaani waliomkimbilia kuomba msaada wa kuondoshewa janga la Covid?
huyo huyo, kwani Mungu anachagua kua kwa sababu ulimkimbilia kumuomba korona itoke nchini kwako, kwamba atakuacha ukifanya dhulma, kuvunja amti yake ya USIIBE, USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UONGO( KUIBA KURA NA KUWASHUHUDIA WATANZANIA UONGO KUA MMESHINDA KIHALALI)
 
Leo tuchambueni tu, haki yenu!!!
 
Kuna wakati inabidi tukubali tu kuwa kuna sehemu makosa makubwa yamefanyika,hili halikubaliki.
 
Kutawala watanzania ni sawa na kutawala maiti. Ccm imewaibia maiti halafu inafanya sherehe..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kutawala watanzania ni sawa na kutawala maiti. Ccm imewaibia maiti halafu inafanya sherehe..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Big point.
Sasahivi mtu akionewa na police,mahakama,tra,ardhi,ajira,vibaka nk jibu litakuwa moja.
Mwenye kuvumilia hata mwisho Ataokoka vumilia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…