Haijatokea duniani, Watanzania wafaulu kufuta upinzani

Tatizo kubwa nilililoliona ni asilimia kubwa ya watu kutojitokeza kupiga kura!!! Ukiangalia uwiano utaona kuna shida.... Almost robo tatu ya waliojiandikisha hawajaenda kupiga kura!!!kwa kifupi watu wako puzzled bado si CCM wala upinzani...2025 maandalizi yaanzie kwenye hili kundi.
 
Wacha kusingizia wapiga kura. Mumeiba kura. Kubali yaishe.
 
Wewe unaongea ukiwa USA ukienjoy maisha halafu unatetea huu upupu uliofanyika? Hata huna haya?
Haya ya nini wakati najua ndugu zangu wanapata maendeleo chini ya Maghufuli??
He is the MAN we want, wether you and your NGOs like it or not. We have the real deal and he wants a rubber stamp legislature, and he got it.
Just watch!
 
Haya ya nini wakati najua ndugu zangu wanapata maendeleo chini ya Maghufuli??
He is the MAN we want, wether you and your NGOs like it or not. We have the real deal and he wants a rubber stamp legislature, and he got it.
Just watch!
Usije kunililia wakati kitumbua kimeingia mchanga.
 
Malipo ya dhuluma ni laana na kifo

Laana ya mungu iwapate wote walioshinda kwa dhulma na wizi

Baraka za mungu ziambatane na walioshinda kihalali na walio tayari kuwatumikia wananchi
AMEN
 
Mungu aliyetulinda na Corona ndiye huyu huyu atakayewalaani waliomkimbilia kuomba msaada wa kuondoshewa janga la Covid?
Kama Urusi na china wameweza sisi ni nani tushindwe. Hebu tukae chini tujenge nchi. Hizi siasa za kelele zinachelewesha maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…