Haijawahi tokea, ni kufuru! Yanga yachangiwa zaidi ya tiketi elfu 30 kutoka kwa Rais, Wizara, viongozi, Mabenki, na bado zoezi linaendelea

Yanga imewafanya muwehuke haswa mashabiki wa Simba. Yaani mpo hatua mbaya sana ya kurukwa na akili, Sasa tiketi 500,000 mashabiki wakakae kwenye uwanja vipi wakati uwezo wa uwanja ni watu 60,000 pekee?
Mirembe wafungue matawi mikoani
 
Sasa si waseme ni bure tu.

Hapo Mo aongeze hizo 20+k zilizobaki mchezo uwe umeisha.

Nchi yetu sote, yanga yetu sote.
 
Kwamba Yanga mnahitaji kununuliwa tiketi kwenda kusapoti timu yenu katika mechi ya fainali? Halafu hili mnashangilia na kutumia kama fahari na kukejeli wengine?

Ninasemaga Simba na Yanga kimsingi kabisa ni timu zilizo na mashabiki wa aina mbili tofauti sana. Sitalielezea zaidi ila wenye akili watang'amua hizi tofauti ziko wapi.
 
mkifungwa sijui mtaweka wapi uso wenu
 
Tunaomba tuoneshe ni wapi mashabiki au viongozi wa Yanga wameomba msaada wa kununuliwa tiketi? Hizo ni taasisi mbali mbali zimeamua kushow love kwa mashabiki na wala hawakuombwa wala kulazimishwa.
 
Tunaomba tuoneshe ni wapi mashabiki au viongozi wa Yanga wameomba msaada wa kununuliwa tiketi? Hizo ni taasisi mbali mbali zimeamua kushow love kwa mashabiki na wala hawakuombwa wala kulazimishwa.
Waliofanya hivyo wanawafahamu mashabiki wa Yanga vizuri kwa hiyo point yangu iko pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…