changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Ticket ya bei ya chini ni sh elfu tano (5,000/=)Naona kila thread ya ticket nki uliza ticket moja ni shingapi sijibiwi .hii ina onesha wabongo wengi ni mandazi kazi yetu ni kubeba kila jambo na kuli andika tu