Hii ni mechi ya fainali, ni zaidi ya kilele cha wiki ya wananchi. Kama wiki ya wananchi tu uwanja kwa kiasi kikubwa sembuse fainali ya CAF ambapo tokea uwanja wa Mkapa umejengwa ndio fainali pekee ndani ya ardhi ya Tanzania. Umetumia kiungo gani kufikiria?Waliofanya hivyo wanawafahamu mashabiki wa Yanga vizuri kwa hiyo point yangu iko pale pale.
Ndiyo point yangu ilipo hapo. Mechi nyingi tu za Yanga mlijaza uwanja hata kama siyo 60K, sasa kwa nini mnaona fahari sana kununuliwa tiketi na kwa nini hawa watu/taasisi wameona njia sahihi ni kuwanunulia tiketi watu ambao wameonyesha uwezo wa kujinunulia? Jibu unalo au kama hauna litafakari utalipata.Hii ni mechi ya fainali, ni zaidi ya kilele cha wiki ya wananchi. Kama wiki ya wananchi tu uwanja kwa kiasi kikubwa sembuse fainali ya CAF ambapo tokea uwanja wa Mkapa umejengwa ndio fainali pekee ndani ya ardhi ya Tanzania. Umetumia kiungo gani kufikiria?
DahRais wa nchi - Tiketi 5,000
Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000
Benki ya NBC - Tiketi 5,000
Benki ya CRDB - Tiketi 5,000
Benki ya NMB - Tiketi 5,000
Mkuu wa Mkoa Dar - Tiketi 1,000
Makamu wa YangaSc - Tiketi 500
JUMLA: Tiketi 31,500..
WHY NOT US? '
Najiuliza watatumia vigezo gani kuwapa mashabiki tiketi?Rais wa nchi - Tiketi 5,000
Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000
Benki ya NBC - Tiketi 5,000
Benki ya CRDB - Tiketi 5,000
Benki ya NMB - Tiketi 5,000
Mkuu wa Mkoa Dar - Tiketi 1,000
Makamu wa YangaSc - Tiketi 500
JUMLA: Tiketi 31,500..
WHY NOT US? '
Ubavu mngeanza nyie kwanza kuuonesha siku ambayo mnapewa milioni mia plus katika milioni 400 plus. Simba na Yanga hawana uwanja wao hivyo hawana ubavu wa kuwapangia serikali nini cha kufanya kuhusu hilo. Mbona wadau walikuwa wanapiga kelele Simba wamenyonywa kwa yale mapato lakini hatukusikia kiongozi yeyote wa Simba kaleta fyoko fyoko. Usijitoe akili na kujifanya mjuaji kuliko.Ndiyo point yangu ilipo hapo. Mechi nyingi tu za Yanga mlijaza uwanja hata kama siyo 60K, sasa kwa nini mnaona fahari sana kununuliwa tiketi na kwa nini hawa watu/taasisi wameona njia sahihi ni kuwanunulia tiketi watu ambao wameonyesha uwezo wa kujinunulia?
Mngekuwa wajanja mngewaambia BMT badala ya kununua tiketi ambazo mlikuwa na uhakika wa kuziuza, wasichukue makato yao katika mechi kubwa 3 mtakazoamua nyie, mngewaambia Wizara au Serikali hivyo hivyo lakini hamna ubavu wala kwa bahati mbaya labda akili hizo.
Kuna mengi zaidi ningekwambia ila ngoja nione kwanza haya utayapokeaje.
Wenye wivu wajinyonge.
Ukatae ujinga, nakufunza ujanja dogo, sikiliza ninachokwambia. Sana sana tingisha tu kichwa kuonyesha unanielewa.Ubavu mngeanza nyie kwanza kuuonesha siku ambayo mnapewa milioni mia plus katika milioni 400 plus. Simba na Yanga hawana uwanja wao hivyo hawana ubavu wa kuwapangia serikali nini cha kufanya kuhusu hilo. Mbona wadau walikuwa wanapiga kelele Simba wamenyonywa kwa yale mapato lakini hatukusikia kiongozi yeyote wa Simba kaleta fyoko fyoko. Usijitoe akili na kujifanya mjuaji kuliko.
Natarajia kesho nikute🦁 wengi wamerudisha namba kwa kujinyonga🤸🤸🤸🤸Wenye wivu wajinyonge.
Hizi msizisahau tena tumalize fainali kibabe. Faini yoyote ya CAF nitalipa mimi.
Imepenya hiyo [emoji382] ikikuuma sana ichomoe tu [emoji4]Fainali imepoooooooza utadhani pilau lisilo tiwa chumvi.
Sio kila hater anakomolewa kwa kumtambia mafanikio yako.Wenye wivu wajinyonge.
we jamaa ndio huna unachokijua...Ukatae ujinga, nakufunza ujanja dogo, sikiliza ninachokwambia. Sana sana tingisha tu kichwa kuonyesha unanielewa.
Na mimi point yangu toka mwanzo ilihusiana na mashabiki, wewe unaleta habari za viongozi. Umeaminishwa mnaendeshwa sijui kisomi wakati kuna wajanja wachache wanaokula na wanasiasa ndiyo wameteka timu, wengine mmebaki mnasherehekea kununuliwa tiketi. Mfanyabiashara anayejielewa muda wote atajiuliza "hili ndiyo dili bora ninayoweza kufanya na watu hawa?"
Mbabaki tu mnaimba GSM! GSM! kama mmerukwa akili. Umeona wapi mdhamini wa timu anashangiliwa na mashabiki wa timu inapofunga goli?
Dua zako kwa Wananchi tafadhali sana maana huenda tusipate nafasi nyingine tena kushuhudia fainali kubwa kama hii tangu kuumbwa kwa ulimwengu hadi sasa.mkifungwa sijui mtaweka wapi uso wenu
Limepooza kwasababu hawana uhakika.Fainali imepoooooooza utadhani pilau lisilo tiwa chumvi.
Hao wana siasa ndio unawaona leo kwenye mechi za Yanga? Mara ngapi humu mlikuwa mnaleta uzi wa kupinga viongozi wenu kuwaletea viongozi wa kisiasa kama mgeni rasmi kwenye michezo yenu ya kimataifa? Kuna mechi ilichezwa ya Simba huku mabango na T shirt za raisi Samia zikiwa zitalindima uwanjani. Swala la siasa katika soka letu halianzia kwa Yanga na pia halijaanzia leo.Ukatae ujinga, nakufunza ujanja dogo, sikiliza ninachokwambia. Sana sana tingisha tu kichwa kuonyesha unanielewa.
Na mimi point yangu toka mwanzo ilihusiana na mashabiki, wewe unaleta habari za viongozi. Umeaminishwa mnaendeshwa sijui kisomi wakati kuna wajanja wachache wanaokula na wanasiasa ndiyo wameteka timu, wengine mmebaki mnasherehekea kununuliwa tiketi. Mfanyabiashara anayejielewa muda wote atajiuliza "hili ndiyo dili bora ninayoweza kufanya na watu hawa?"
Mbabaki tu mnaimba GSM! GSM! kama mmerukwa akili. Umeona wapi mdhamini wa timu anashangiliwa na mashabiki wa timu inapofunga goli?
Bwana wee mechi ya kitaifa itakuwa hii?Mumshauri muddy wenu achangie japo moextra energy kwa mashabiki au hata Maji tu....aonyeshe uzalendo....
Yeye ni mfanyabiashara na hii ni fursa, hii ni mechi ya kitaifa,
Aweke Kando ushabiki.....achangie hata Maji tu...tutayanywa
Ukiangalia ni typing errors tu huoni hapo sifuri zipo 4 halafu iyo comma imewekwa eneo lisilo sahihiYanga imewafanya muwehuke haswa mashabiki wa Simba. Yaani mpo hatua mbaya sana ya kurukwa na akili, Sasa tiketi 500,000 mashabiki wakakae kwenye uwanja vipi wakati uwezo wa uwanja ni watu 60,000 pekee?