changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Hii ni mechi ya fainali, ni zaidi ya kilele cha wiki ya wananchi. Kama wiki ya wananchi tu uwanja kwa kiasi kikubwa sembuse fainali ya CAF ambapo tokea uwanja wa Mkapa umejengwa ndio fainali pekee ndani ya ardhi ya Tanzania. Umetumia kiungo gani kufikiria?Waliofanya hivyo wanawafahamu mashabiki wa Yanga vizuri kwa hiyo point yangu iko pale pale.