The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Ticket moja ni sh 5000, ticket 1000 ni sh 5000,000 je, mkuu wa mkoa anakosa milioni 5 muda wote huo aliofanya kazi? Acha mawazo ya kimaskini.On a seriius note mkuu wa mkoa anatoa wapi pesa ya kunua tiketi buku???
Cag ana kazi kubwa sana asee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na sisi wana uchumi hatuwezi kuruhusu hilo litokee.
Hapo kuinusuru nchi isiingie kwenye hasara isiyokuwa na lazima solution ni moja, USM ALGER apewe motisha
Usisahau wamechangia kwenye mechi ya fainali..!! Nyie na robo zenu mchangiwe nini?MUHIMU: Hawa wahusika wameguswa na mafanikio ya yanga na ni wao kwa hiari yao wameamua kushow love wameongeza hamasa kwa kuwanuulia mashabiki tiketi, wala hawakuombwa wala kulazimishwa.
Rais wa nchi - Tiketi 5,000
Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000
Benki ya NBC - Tiketi 5,000
Benki ya CRDB - Tiketi 5,000
Benki ya NMB - Tiketi 5,000
Mkuu wa Mkoa Dar - Tiketi 1,000
Makamu wa YangaSc - Tiketi 500
JUMLA: Tiketi 31,500..
WHY NOT US? '
Kwahiyo hao 500,000 wakajazane kwenye uwanja wenye uwezo wa watu 60,000? Mmepewa akili lakini mnatumia kuvukia barabara tu..!! Au la wivu unawauwa taratibuYanga wangekuwa hatua hii kwenye CAFCL wangechangiwa zaidi ya ticket 500,00 kumbe ht 50k hazijafika!!??
Hofyo kabisaaaaaaa hii
Puaaaa
We Mama mbona sikuelewi sasa, si ulinahidi kuwa Yanga akibahatika kubeba ubingwa wa CAFCCL 2023 unahamia rasmi kwetu Wananchi?Siwezi umia kabisaaa...nitawaachia jukwaa mfurahi kwa mwezi mzima
Bwana mtani hebu niache...hatujawahi eleweka siku tukieleweka ujue na mwisho wa dunia umefikaWe Mama mbona sikuelewi sasa, si ulinahidi kuwa Yanga akibahatika kubeba ubingwa wa CAFCCL 2023 unahamia rasmi kwetu Wananchi?
Kweli Ke huwa hamueleweki daaah [emoji849][emoji26]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwani baada ya mwezi kombe linakuwa la nani?Siwezi umia kabisaaa...nitawaachia jukwaa mfurahi kwa mwezi mzima
Inabaki kuwa la historiaKwani baada ya mwezi kombe linakuwa la nani?
Ticket mzunguko elfu tanoNaona kila thread ya ticket nki uliza ticket moja ni shingapi sijibiwi .hii ina onesha wabongo wengi ni mandazi kazi yetu ni kubeba kila jambo na kuli andika tu
Na Uwanja wa Inter Milan piaUtanionyesha na uwanja wa AC Milan,au nayo ni timu ndogo kuliko Namungo ? Kupanga ni kuchagua.
Mwezi mbona mdogo Sana ongeza mudaSiwezi umia kabisaaa...nitawaachia jukwaa mfurahi kwa mwezi mzima
Namungo haina uwanja usipotoshe.Game inapigwa kwenye dimba la taifa kwa kuwa Yanga haina wa kwake.
Namungo, Azam, wana umri gani vile ukilinganisha na wale wakongwe wawili?
Mambo ya Majaliwa kuokoa wahanga wa ndege haya!
Unadhani kwanini AC Milan hawana uwanja?Utanionyesha na uwanja wa AC Milan,au nayo ni timu ndogo kuliko Namungo ? Kupanga ni kuchagua.
Game za nyumbani wanachezea Taifa?Namungo haina uwanja usipotoshe.
Itachangamkaje fainali ya timu zisizojulikana katika ulimwemgu huu wa soka?Fainali imepoooooooza utadhani pilau lisilo tiwa chumvi.
Yanga itakuwa timu ya kwanza kuleta kombe la CAFcc , ila simba itakuwa timu ya kwanza kuleta kombe la CAFCL Maana malengo yanatofautiana.Mama katoa mpya kwaba Yanga wakibeba kombe litatembezwa kila kijiji cha Tanzania kama mwenge wa uhuru, kama utahisi kukereka ni ruksa kahamia Burundi.
Mbeya city nao kumbe Wana uwanja.Game za nyumbani wanachezea Taifa?