Hii ni Mitazamo ya KimalayaMkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.
Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?
NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
Tena malaya mbobevu/PhD!Hii ni Mitazamo ya Kimalaya
Hizo Seminar zenyewe wanajaaga Malaya ,na single mother kibaoHii ni Mitazamo ya Kimalaya
Malaya aliyekubuhuTena malaya mbobevu/PhD!
Mwanamke awe hivi halafu awe ameolewa.? Nadhani Mwanamke ambaye hajaolewa asiolewe akiwa na mitazamo hii maana itamgharimu yeye.Wanaume nyie waoga sana. Hapa mmepata cha kuongea mtaongea mwaka mzima. Ila bidada yupo sahihi kabisa, waliomuelewa watamuelewa na wasiomuelewa sio lazima wamuelewe.
Ni aina ya malaya wasiovaa vimwanandani/chupi kwa kisingizio cha joto.Malaya aliyekubuhu
Ndio Mkuu,na wanashikana sana masikioNi aina ya malaya wasiovaa vimwanandani/chupi kwa kisingizio cha joto.
Anawadanganya wenzie kipuuzi kabisa.Wakishika maneno yake wanapotea mazima.Ndio Mkuu,na wanashikana sana masikio
Huyo haika kamkuta magesa yupo vizuri kiuchumi huyo baba ni director wa IT pale TPA ana miliki ma apartments mengi hapa mjini huyo haika kasomeshwa na huyo Baba ulaya kwenye masuala ya kifedha Sasa hapo utapeli wa magesa uko wapi? wakati bi mkubwa kawezeshwa na huyo babaWanafurahia pale wanapotafuta mali na wake zao afu majina wanaandika ya mama zao, dada zao, inapotokea wameshindwana mwanamke anabaki kutaabika, wabinafsi sana saivi wanamuona Haika jau kwenye jamii....wapo hawa marioo wa kulelewaga anamsogeza mwanamke karibuuu, taratiiiibu anaanza kumlaghai unashangaa mali inahamishika taratibu mwishowe mwanamke anabaki solemba
Malaya ni Malaya tu, Brother Phares kamtoa mbali ila kwakua Malaya haachi asili ,ndio km hiviHuyo haika kamkuta magesa yupo vizuri kiuchumi huyo baba ni director wa IT pale TPA ana miliki ma apartments mengi hapa mjini huyo haika kasomeshwa na huyo Baba ulaya kwenye masuala ya kifedha Sasa hapo utapeli wa magesa uko wapi? wakati bi mkubwa kawezeshwa na huyo baba
Vichwa panzi wamemuelewaAnawadanganya wenzie kipuuzi kabisa.Wakishika maneno yake wanapotea mazima.
Anajisagia kunguni jichoni mwake na Kwa mikono yake mwenyewe.Anadhani ilipoandikwa kuhusu mwanamke na uvunjaji wa ndoa kwa mikono yake alijua yaliishia kwenye vitabu tu?Shauri yake!Huyo haika kamkuta magesa yupo vizuri kiuchumi huyo baba ni director wa IT pale TPA ana miliki ma apartments mengi hapa mjini huyo haika kasomeshwa na huyo Baba ulaya kwenye masuala ya kifedha Sasa hapo utapeli wa magesa uko wapi? wakati bi mkubwa kawezeshwa na huyo baba
Hapa ndio utaona namna wanawake walivyo wabinafsi pamoja na kufanyiwa Mambo yote na kuweshwa kwa nguvu ya huyo baba baada Sasa ya kujipata anaficha Mali unaonekana si loloteMalaya ni Malaya tu, Brother Phares kamtoa mbali ila kwakua Malaya haachi asili ,ndio km hivi
Haika mshenzi tuHapa ndio utaona namna wanawake walivyo wabinafsi pamoja na kufanyiwa Mambo yote na kuweshwa kwa nguvu ya huyo baba baada Sasa ya kujipata anaficha Mali unaonekana si lolote
Naona hata sababu ya magesa kumuuacha huyo mama naona ni pamoja nakugundua mkewe anamficha Mali zake na ukitazama Sasa yeye ndio amemuinua Sasa lengo la kufichwa ni Nini? Huyo mama ningemuelewa kama angekuwa ana Mali kazipata kwa jasho lake mwenyewe kabla ajaingia kwenye ndoa lakini vyote kapata baada ya kuwa na ndoa na huyo MagesaAnajisagia kunguni jichoni mwake na Kwa mikono yake mwenyewe.Anadhani ilipoandikwa kuhusu mwanamke na uvunjaji wa ndoa kwa mikono yake alijua yaliishia kwenye vitabu tu?Shauri yake!
Halafu watakuambia usingo maza ni kosa la mwanaume.Siku hizi kwenye hizo Seminar zao ndio wanafundishana Hivi,na ndio maana ongezeko la single mother ni wengi na ndoa kuvunjika
Kwani Haika alipoongea alimtaja mumewe?.Phares hajawahi kuwa tapeli
Namfahamu tangu wadogo 80s tunasoma Mtendeni Primary tukaachana sie tulioondoka kwenda ubalozini Cairo
Nikarudi tukakutana Forodhani Secondary O level baadae tukaachana tena A Level mpaka Chuo
Phares amesoma Bachelors ya IT Mysore, India na Masters Coventry, UK
Ni mmoja wasomi wa mwanzo sana wa IT Tanzania miaka ya 90s sawa na yule Dr Jabir alikuwa DG wa TCRA na Maharage Chande alikuwa TANESCO, etc.
Baba yake, Israel Magesa alikuwa Hakimu Mkazi Kisutu baadae akawa Wakili maarufu tu mjini mpaka alipofariki
Watoto wetu walikuwa school mates O level na marafiki, both boys and girls wanatembeleana na wanaalikana iftar na birthday dinners majumbani kwao na kwetu na kwengine kama ulivyo utaratibu pale ku host watoto au tukialikwa shule kwa hizo na any events zikitokea wazazi tunakutana
Kila tukikutana kwenye Parents meeting au school events inabidi anitambulishe kwa Haika, ikawa inani bore na asipokuwa naye Haika anani ignore licha ya watoto kunichangamkia kwani wananijua ni mate wa mzee na ‘Daddy X’ kama wanavyoita mzazi wa mtu na ukifika pale shule weekends kuwaona watoto wakikuona tu wanamtafuta mwenzao. Nikaanza ku m ignore akaja akastuka akaanza kunisalimia. Hii inaonesha the other side (attitude) ya Haika na wife ali observe the same kama ni mtu wa kujiona na dharau sana na mie sikujua kama wametalikiana mpaka Phares alipoanika
Phares amefikia level ya MNEC Taifa na alipitisha nia kugombea Ubunge Mbagala/Temeke alikatwa jina na JPM
Ni mtoto wa mjini na mtu wa watu hasa
Amestaafu akiwa Director wa IT TPA na sasa ana kampuni zake za IT na ana apartment block, Magesa Apartment, Masaki.
Haika amelipiwa na Phares kusoma Masters UK, ana usimamizi wa mali ya urithi wa familia ya mzee wake hiyo Mbezi Garden na ukumbi wa kwake, Silver Star Hall
Phares ana miaka 50+ anaandaa harusi ya shoka, SuperDome, mwezi ujao na ex Miss Tz
Haika ana miaka 48, analialia majukwaani, menopause loading!
Nani mchakarikaji hapo na nani tapeli?