Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

Kama haujavichunguza sawasawa, hivyo vilio si vya kufichiwa mali tu, bali ni vilio vya kuvunjiwa uaminifu pia.

Hakuna mwanaume anapenda mke wake apokee 'mahubiri' kabila hiyo, hata kama hana mali.
Uaminifu upi labda
Tukizungumzia uaminifu wanaume mnauweza kweli?..

Poleni mhubiri wa sasa naona kawachoma wengi🤣🤣
 
Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.

Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?

NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
Kicheche kimezeeka, kimeachwa, kimechachawa

Na bado
 
Wanafurahia pale wanapotafuta mali na wake zao afu majina wanaandika ya mama zao, dada zao, inapotokea wameshindwana mwanamke anabaki kutaabika, wabinafsi sana saivi wanamuona Haika jau kwenye jamii....wapo hawa marioo wa kulelewaga anamsogeza mwanamke karibuuu, taratiiiibu anaanza kumlaghai unashangaa mali inahamishika taratibu mwishowe mwanamke anabaki solemba
Wanajitia tu ufahamu hapa. Lakinj ipo wazi kwamba wanawake wengi wanapoteza mwelekeo baada ya kuolewa, kama ni kazi anaachishwa, biashara anaacha kufanya. Na kama mqjukumu ndo anaachiwa yeye mwenyewe.
 
Maisha yana uongo sana (illusion). Wanawake wanaopoteza uelekeo baada ya kuolewa lkn hao hao wanatafuta ndoa Kwa kiu kubwa umri ukiwa umeenda. Wanawake mjifunze kutumia mantiki kuliko hisia ktk maamuzi. Unaanzaje kuacha /kuachishwa kazi au biashara?
 
Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.

Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?

NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
Kwani Wanawake wanamali gani?
 
Back
Top Bottom