KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,132
- 5,108
Nyoooo🤣🤣Basi sawa pesa zenu ficheni ila k msiache kutupatia tafadhali.
Nyoooo🤣🤣Basi sawa pesa zenu ficheni ila k msiache kutupatia tafadhali.
Kunyooka umewapima kwa kutumia nini? Akili za darasani na akili ya kuendesha jamii na familia ni vitu viwili tofauti,huwezi jua kupitia wazazi wao na maisha yao ya ndoa wao wamejifunza nini na watoto walio shuhudia wazazi wao wakitalikiana au kulelewa na mzazi mmoja wengi wao si mabalozi wazuri wa ndoa.Hawa watu hawakutaka kuwaingiza watoto kwenye migogoro yao binafsi, ndio maana watoto wamenyooka.
Ingekua wengine, watoto na future yao ingeishia hapo.
Nimekuuliza ulipaswa ujibu kwanza...Hayo yametoka wapi
Anyways mkeo ana mali za kumiliki kwanza au🤣😇
Mana hii mada inahusu ke wenye mali
Hebu toka huko sayari ya Mars ukirud duniani utaelewa kua wanawake wanamiliki pesa na mali!!Kwani Wanawake wanamali gani?
ambazo ni zetu kabisa kabisa.Hebu toka huko sayari ya Mars ukirud duniani utaelewa kua wanawake wanamiliki pesa na mali!!
mnatuibia nyie weziHili ndo suala la msingi
Ss jiulize why wanaume nchi nzima mmepanic
Zinatoka kutoka mwanaume alafu huyo huyo aliyekuwezesha kufika hapo umfiche huo ndio wizi wenyewe unafichaje Mali ambavyo umeipata ndani ya ndoa?Hebu toka huko sayari ya Mars ukirud duniani utaelewa kua wanawake wanamiliki pesa na mali!!
Wanaume wamepaniki kwasababu Mali ulizonazo zimetokana na nguvu zake alafu huyo huyo aliyekuwezesha umfiche huo si ndio wizi wenyewe jaribu kuwa kwenye position ya huyo mwanaume ndio utakuja kuelewa huyo Mali zake kapata ndani ya ndoa alafu anatamba kama wewe ni strong woman pata Mali kabla ya ndoaHili ndo suala la msingi
Ss jiulize why wanaume nchi nzima mmepanic
Mimi huwa nashindwa kuelewa inakuaje mtu aliyekuwezesha kakusomesha tena ulaya, kakupa mtaji wa biashara inakuaje umuone ni tapeli? Kama alikuwa anajiweza mbona hizo Mali haukupata kabla ya ndoa? Sasa hapo nani ni tapeliHuwenda babaake alimtapeli mamaake pia.
Wanawake wengi siku hizi wamekuwa na matarajio makubwa Sana na wababa wanaokuwa nao sasa mambo ya kuingiza yakiisha basi mwanaume anakuwa tapeli
Mali zipo bana mtoto wa chief anakosaje maliSasa mtu asikazwe jmn
Ana kasoro gan
Muacheni Haika jmn
btw mkeo ana mali au unatoa povu tu🤣
Haika ndio tapeli mkuu😂😂😂Phares hajawahi kuwa tapeli
Namfahamu tangu wadogo 80s tunasoma Mtendeni Primary tukaachana sie tulioondoka kwenda ubalozini Cairo
Nikarudi tukakutana Forodhani Secondary O level baadae tukaachana tena A Level mpaka Chuo
Phares amesoma Bachelors ya IT Mysore, India na Masters Coventry, UK
Ni mmoja wasomi wa mwanzo sana wa IT Tanzania miaka ya 90s sawa na yule Dr Jabir alikuwa DG wa TCRA na Maharage Chande alikuwa TANESCO, etc.
Baba yake, Israel Magesa alikuwa Hakimu Mkazi Kisutu baadae akawa Wakili maarufu tu mjini mpaka alipofariki
Watoto wetu walikuwa school mates O level na marafiki, both boys and girls wanatembeleana na wanaalikana iftar na birthday dinners majumbani kwao na kwetu na kwengine kama ulivyo utaratibu pale ku host watoto au tukialikwa shule kwa hizo na any events zikitokea wazazi tunakutana
Kila tukikutana kwenye Parents meeting au school events inabidi anitambulishe kwa Haika, ikawa inani bore na asipokuwa naye Haika anani ignore licha ya watoto kunichangamkia kwani wananijua ni mate wa mzee na ‘Daddy X’ kama wanavyoita mzazi wa mtu na ukifika pale shule weekends kuwaona watoto wakikuona tu wanamtafuta mwenzao. Nikaanza ku m ignore akaja akastuka akaanza kunisalimia. Hii inaonesha the other side (attitude) ya Haika na wife ali observe the same kama ni mtu wa kujiona na dharau sana na mie sikujua kama wametalikiana mpaka Phares alipoanika
Phares amefikia level ya MNEC Taifa na alipitisha nia kugombea Ubunge Mbagala/Temeke alikatwa jina na JPM
Ni mtoto wa mjini na mtu wa watu hasa
Amestaafu akiwa Director wa IT TPA na sasa ana kampuni zake za IT na ana apartment block, Magesa Apartment, Masaki.
Haika amelipiwa na Phares kusoma Masters UK, ana usimamizi wa mali ya urithi wa familia ya mzee wake hiyo Mbezi Garden na ukumbi wa kwake, Silver Star Hall
Phares ana miaka 50+ anaandaa harusi ya shoka, SuperDome, mwezi ujao na ex Miss Tz
Haika ana miaka 48, analialia majukwaani, menopause loading!
Nani mchakarikaji hapo na nani tapeli?
Mali zake au za marehemu baba yake.Wanaume wamepaniki kwasababu Mali ulizonazo zimetokana na nguvu zake alafu huyo huyo aliyekuwezesha umfiche huo si ndio wizi wenyewe jaribu kuwa kwenye position ya huyo mwanaume ndio utakuja kuelewa huyo Mali zake kapata ndani ya ndoa alafu anatamba kama wewe ni strong woman pata Mali kabla ya ndoa
Anamiliki mali kiunoni na anaificha kwa wivu mkubwa mno. Mimi nimebariki aendelee kuificha ili kusudi nimtaftie bi.mdogoSasa mtu asikazwe jmn
Ana kasoro gan
Muacheni Haika jmn
btw mkeo ana mali au unatoa povu tu🤣
Sawa kabisaKuna wanaume ambao haina shida ukiwaonyeshs mali. Pia kuna ambao hawqpaswi kabisa kuonyeshwa na wapo wengi wanajijua.
Sureambazo ni zetu kabisa kabisa.
Acha chenga MkuuNimekuuliza ulipaswa ujibu kwanza...
Sio zoteWanaume wamepaniki kwasababu Mali ulizonazo zimetokana na nguvu zake alafu huyo huyo aliyekuwezesha umfiche huo si ndio wizi wenyewe jaribu kuwa kwenye position ya huyo mwanaume ndio utakuja kuelewa huyo Mali zake kapata ndani ya ndoa alafu anatamba kama wewe ni strong woman pata Mali kabla ya ndoa