Unaficha alafu uchangii chochote kwenye familia alafu unamlaumu mtu ambaye anahudumia familia ila baadhi ya assets anakuficha na anaweka jina la mtoto yupi Bora?Kwa hiyo wanawake hawana akili? Hata mwanamke ukiona anachepusha hela na kujenga uchumi wake kwa siri ni wazi kuna kitu ameona hakiko sawa kwenye hiyo ndoa. Kwani hawapo wanaojenga uchumi wa familia pamoja na waume zao? Wanawake wangapi tumewaona wanapoondokewa na waume zao wanaporwa mali na familia ya upande wa kiumeni? Wanawake kama hao wanakuwa waliweka imani kwa waume zao bahati mbaya yalipotokea ya kutokea wanajikuta hawana kitu.