Umeona eeeh yani wanaume wamejaa utapeliKama tapeli shamte lilivyokula mali za mama fulani.
Umeona eeeh yani wanaume wamejaa utapeliKama tapeli shamte lilivyokula mali za mama fulani.
Ile Mbezi Garden siyo mali ya Haika bali mali ta familiaKama baadhi ya wanaume wafichavyo Mali bi dada ana haki ya kusema hivyo
Issue ya kuachwa pengine both wana mapungufu yao hatujui maake hata kuachana kwao km Phares asingepost tusingejua kitu
Ntaoa Binti wa Haika
Wametokwa povu si kidogo🤣Wanaume nyie waoga sana. Hapa mmepata cha kuongea mtaongea mwaka mzima. Ila bidada yupo sahihi kabisa, waliomuelewa watamuelewa na wasiomuelewa sio lazima wamuelewe.
kwa id ipi?Hata humu yupo
Nilikuwa naiona familia safi sana kwa jinsi tulivyokuwa tunawaona mitandaoni kumbe ndani kulikuwa kunawaka MOTO......Mafahali wawili hawakai zizi moja ,Haika ana mali na Magesa naye ana mali na power lazima ndani pawake moto ,ila wamejitahidi sana kuwapa elimu bora watoto wao ,watoto hawajayumba kutokana na migogoro ya wazazi.Kamuumiza sana huyu feminist
1. Shida yenu mnapenda sana kujitoa fahamu. Tafuta clip mzima uisikilize, amesema kabisa kwa wanandoa wenye maelewano huu sio ujumbe wao. 2. Kama hii imekutouch, ujue inakuhusu! Dunia imebadilika, wanaume wa aina hiyo wapo!
Nilikuwa naiona familia safi sana kwa jinsi tulivyokuwa tunawaona mitandaoni kumbe ndani kulikuwa kunawaka MOTO......Mafahali wawili hawakai zizi moja ,Haika ana mali na Magesa naye ana mali na power lazima ndani pawake moto ,ila wamejitahidi sana kuwapa elimu bora watoto wao ,watoto hawajayumba kutokana na migogoro ya wazazi.
Kituo cha daladala mbezi beach kinachoitwa GOIG ndiyo kilikuwa asili ya hiyo taasisi ya mama mchakarikaji?Nina mfano mzuri wa mwanamke mmoja, mwizi, aliyeolewa na Katibu Mkuu wizara fulani.
Mwanamke huyo alikuwa anachakarika, lakini kipato alikuwa hamshirikishi mume wake.
Mwanamke huyo anatoka huko huko kwa huyo akina Haika.
Mwisho wa siku kazi za serikali kutokana na maadili, ikaja gundulika mke kajenga Masaki, jengo kubwa sana.
Mume kuulizwa na watu wa Maadili akasema sijui.
Kibarua kikaota mabawa, kisa wanajumba Masaki ambalo mume kumbe hana taarifa nalo.
Huyo mama hakuishia hapo.
Baadaye mama chakarikaji na wenziwe wanawake , waliunda Taasisi ya kijamii inaitwa GOIG, ilikuwa kule Mbezi Beach.
Mama mchakarikaji na wenzie waliagiza vyerehani zaidi ya 100 kutoka kwa wafadhili ili viwasaidie kina mama wahitaji.
Mama mchakarikaji akaona mambo si hayo?
Usiku mmoja akaamua kuiba zaidi ya vyerehani 50, na soko alisha lipata.
Hapo ikwa siku za mwizi arobaini, uchunguzi wa polisi ukaonyesha kuwa mama mchakarikaji ndiye mwizi.
Akapelekwa mahakamani na akafungwa miaka karibia mitano na aliamriwa kurudisha mali za taasisi.
Huo ndio uchakarikaji wa wanawake kiwizi.
Kama huibi weka mambo yako wazi.
Hii hadithi ni ya kweli.
Hizo mali za kuficha zenyewe wangapi wanazo sasa??😀
Wanaume wanafanya kwa manufaa ya familia japo kakuficha lakini matumizi unaona hapo nyumbani na still analipa ada za watoto ila nyie mnafanya kwa manufaa yenu binafsiMkifanya nyie ni sahihi, wakifanya wanawake ni matapeli🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Hamjui nyie ndio walimu wetu?
Mali zipi uncle shamte kala?Kama tapeli shamte lilivyokula mali za mama fulani.
Kwahiyo wake zenu sio sehemu ya familia?Wanaume wanafanya kwa manufaa ya familia japo kakuficha lakini matumizi unaona hapo nyumbani na still analipwa ada za watoto ila nyie mnafanya kwa manufaa yenu binafsi
Ndiyo, kituo cha GOIG bado kipo, kiko kama mita 500 kuelekea Mbezi Juu.Kituo cha daladala mbezi beach kinachoitwa GOIG ndiyo kilikuwa asili ya hiyo taasisi ya mama mchakarikaji?
Mwanaume anapoacha hela ya matumizi unafikiri mwanamke wake hafaidiki hapoKwahiyo wake zenu sio sehemu ya familia?