Hahaaa .. mbona jf AI inafanya kazi poa
Mzee hawa viumbe usiwaamini hasa hawa waliopo kweny platforms!! Hawa wanapata tips nying za feminism na kupeana ushauri, feminism haijawahi kupenda mamlaka ya mwanaume kweny ndoa. Sikiliza zile takataka za kipind cha dadaz pale eatv 🤣🤣🤣Sikutegemea kusikia haya kwa mtu kama Haika Lawere. Niliona smart na strong. Na vile ambavyo anapenda sisi walimwengu tujue mambo yake yamenyooka kupitia post zake za mitandaoni.
Ex Husband kuoa, tena mtoto wa mujini kama yeye, inaonekana imekuwa ngumi ya chembe kwake. anaanza kuwadanganya wenzake.
Binafsi sijui sababu hasa ya kuachana na mumewe...siwezi kumuhukumu. Sijui lolote. Ila alichosema sio sawa kabisa.
Experience yake sio universal...kila mtu anachangamoto zake na hazijawahi kuwa unique. wakati mwingine anagombania mali, mwingine anapambana watoto wasomeshwe.
mwingine anapambana mumewe an mke wake arudi warudiane. Kila mtu anapimwa kivyake.
Yeye anatumiaje mali kama kigezo? Namuonea huruma...maana najua pia, hatujakamilika. Ila mjuaji kama yeye ajipange na kupigwa matukio kama hayo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Uwafungie na nyumbani, sio unakula peke yakoDaaah! Kesi ishakuwa ngumu ngoja nimalize kula mdudu nikupe summary ndugu wa haika lawere🤣🤣🤣🤣
1. Shida yenu mnapenda sana kujitoa fahamu. Tafuta clip mzima uisikilize, amesema kabisa kwa wanandoa wenye maelewano huu sio ujumbe wao. 2. Kama hii imekutouch, ujue inakuhusu! Dunia imebadilika, wanaume wa aina hiyo wapo!Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.
Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?
NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
Bwashee acha hizo
Mkwe unanifundisha nini?
Alisha acha mamshangazi kapendeza sanaOya dogo Poor Brain msimpoteze ndio kwanza anaenda jkt
Phares Magesa is Typing ......Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.
Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?
NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
Niliona clip yake moja anaeleza jinsi alivyopoteza pesa nyingi,nahisi kuna conman mmoja alimfanyia uhuni.Nakazia! Huyu bidada atakuwa amekutana na conman, kampiga matukio. Ameongea kulingana na alichopitia nahisi.
Niliona clip yake moja anaeleza jinsi alivyopoteza pesa nyingi,nahisi kuna conman mmoja alimfanyia uhuni.
Bila udikteta wanawake wa bongo hawaendi. Ukiwa mpole sijui polite wanakuona dhaifuTreat your spouse right hatakuwa na sababu ya kukufanyia jeuri. Utampiga stop kwenda ila mitandaoni huko yamejaa tele...utanyang'anya smartphone pia?
Huyu maza mme wake kamuacha..
Mmewake kaoa binti mdogo sasa hivi anaweweseka.
Ujuaji huuhuu ndio chanzo cha kuachika
Sas anataka kuwaponza na wenzake
[/
Uchawi huwa unaanzaga hv hv taratibu
Mwisho wa ndo linaanza kupaa na kulala juu ya mabati ya watu yakisumbua
Kwani mna mali gani za kuficha. Nyie wenyewe mnaingia kwenye ndoa/mahusiano kuvizia mali za mwanaume. Wanawake wenye ukwasi bongo hii hata 2% hamfiki.Wanaume wapumbavu wanapaswa kufichwa
Haika angemuomba Msigwa amsaidie kutolea ufafanuzi kauli yake.Kabisa demi kipenzi , tunakesha kutafuta pesa kumbe kuna vidume wapumbavu wanavizia pesa za wadada
Phares sasa hivi ana mkwanja kuliko Haika, alimuacha wakati anajitafutaPhares magessa s.ndyo.mume.wake.au wameachana kwa kwakutapeliana
Kuna mwanae anajua hesabu balaa sijui yuko wapi kwa sasa