Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

Nina mfano mzuri wa mwanamke mmoja, mwizi, aliyeolewa na Katibu Mkuu wizara fulani.
Mwanamke huyo alikuwa anachakarika, lakini kipato alikuwa hamshirikishi mume wake.
Mwanamke huyo anatoka huko huko kwa huyo akina Haika.
Mwisho wa siku kazi za serikali kutokana na maadili, ikaja gundulika mke kajenga Masaki, jengo kubwa sana.
Mume kuulizwa akasema sijui.
Kibarua kikaota mabawa, kisa wanajumba Masaki ambali mume kumbe hana taarifa nalo.
Huyo mama hakuishia hapo.
Wa;iunda Taasisi ya kijamii inaitwa GOIG, ilikuwa kule Mbezi.
Mama mchakarikaji na wenzie waliagiza vyerehani zaidi ya 100 kutoka kwa wafadhili ili viwasaidie kina mama wahitaji.
Mama mchakarikaji akaona mambo si hayo?
Usumu mmoja akaamua kuiba zaidi ya vyerehani 50, na soko alisha lipata.
Hapo ikwa siku za mwizi arobaini, uchunguzi wa polisi ukaonyesha kuwa mama mchakarikaji ndiye mwizi.
Akafungwa ,iaka karibia mitano na aliamriwa kurudisha mali za taasisi.

Huo ndio uchakarikaji wa wanawake kiwizi.
Kama huibi weka mambo yako wazi.

Hii hadithi ni ya kweli.
wanawake wengine wanapenda kujiamulia mambo kijinga jinga
 
Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.

Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?

NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @

Mchaga huyo...

Kwenye suala la kujenga familia usisikilize ushauri wa wanawake wa kaskazini utapotea...

Mahali pekee unapaswa kuwasikiliza ni kama anatoa ushauri wa kijasiriamali...
 
Kabisa..
Hii post nimeitoa insta chakusitisha nimeona shemeji mke wa bro angu kaLIKE na Kushare na maneno ya msisitizo.

Nimesikitika sana
 
Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.

Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?

NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
Aisee
 
Mambo binafsi anayafanya ndio uhalisia wa wote. Hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom